TTCL tengenezeni App ya kuwezesha disapora kupiga simu! na kusaidia nchi !

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Hili ni wazo tatizo letu na hii katiba mbaya tulionayo hakuna ubunifu. Sisi diaspora tutanashida sana ya kupata simu za uhakika za kuweza kuongea na ndugu zetu Tanzania. Kuna App siku hizi ambazo unaweza kuweka na kupiga simu kutoka popote na kuwa na namba ya simu kabisa kama upo Tanzania. Hii itasaidia sana kuongeza kodi kwa serikali na kutatua tatizo la simu.

Serikali fanyeni utaratibu huu maana utaratibu wa sasa wa lazima kuwa na NIDA ili kuweza kuwa na namba ya simu hauwezi kufanikiwa kwa diaspora badala yake tafuteni uratatibu na App maalumu kwa diaspora tu ambayo ina vigezo vichache na hata namba maalumu ili muweze kupata kodi na kurahisisha kama wenzetu wa kenya. Kenya mfano wana App unalipia $3 kwa mwezi na kupata 200 minutes na ukipiga simu ni kama local. Sisi inabidi tutumie whatApp ambazo hazina uhakika au tununue kadi za simu lakini serikali haipati kodi maana hizo kadi za simu ni za nchi za nje.

Kuna kampuni inaitwa SmileVoice ilikuwa na hii App lakini tatizo ni lazima mtu awe Tanzania kuweza kupata line na lazima uwe na NIDA.
 
hakuna mwanaccm mwenye akili hiyo Kwanza hawapendi DIASPORA waje Tanzania,hawapendi akili nyingine yenye mawazo mbadala,narudia tena MAWAZIRI na makatibu wakuu wote wanafanya biashara Kwa hiyo hutegemei kupata faida Kwa nchi wapo Kwa maslahi binafsi
 
Rais yupo bize kubadilisha viota kuku wasio taga, teuzi ni ilimradi tu, hii ttcl ilibidi iongozwe na mtu angalau aliepata exposure ya mambo ya internet na kusyasomea, ikiwezekana ibinafsishwe tu

Hio ttcl ni shirika linejifia kabisa kiasi linaonekana dampo la kutupia wakurugenzi wenye uwezo mdogo, Maharage alipofeli alitupiwa huku kabla hajabadilishiwa kwenda posta.

Ni heri kupiga simu kwa whatsapp
 
Kupiga simu Kwa nani?
Kusaidia nn?
Kama una mtaji letea nduguzo maneemeke.
Maybe uombe BOT kuruhusu PayPal Kwa diaspora na freelancers wabongo utamake sense.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Hili ni wazo tatizo letu na hii katiba mbaya tulionayo hakuna ubunifu. Sisi diaspora tutanashida sana ya kupata simu za uhakika za kuweza kuongea na ndugu zetu Tanzania. Kuna App siku hizi ambazo unaweza kuweka na kupiga simu kutoka popote na kuwa na namba ya simu kabisa kama upo Tanzania. Hii itasaidia sana kuongeza kodi kwa serikali na kutatua tatizo la simu.

Serikali fanyeni utaratibu huu maana utaratibu wa sasa wa lazima kuwa na NIDA ili kuweza kuwa na namba ya simu hauwezi kufanikiwa kwa diaspora badala yake tafuteni uratatibu na App maalumu kwa diaspora tu ambayo ina vigezo vichache na hata namba maalumu ili muweze kupata kodi na kurahisisha kama wenzetu wa kenya. Kenya mfano wana App unalipia $3 kwa mwezi na kupata 200 minutes na ukipiga simu ni kama local. Sisi inabidi tutumie whatApp ambazo hazina uhakika au tununue kadi za simu lakini serikali haipati kodi maana hizo kadi za simu ni za nchi za nje.

Kuna kampuni inaitwa SmileVoice ilikuwa na hii App lakini tatizo ni lazima mtu awe Tanzania kuweza kupata line na lazima uwe na NIDA.
Whatsapp fb messenger, Tango, Telegram na nyingine nyingi haziwatoshi bado? Unaacha kulilia maji na umeme unalilia upuuzi? Hovyo sana!
 
Naongelea shirika la serikali kuongeza mapato ya serikali ambayo ndiyo yataleta umeme na maji. Cha kushangaza Watanzania wengi kama wewe mnafikiri kila wakati ukiongelea serikali ni kuomba msaada hata pale ambako wengine wanatoa mbinu za maongezeko ya mapato. Huu sio msaada wa huduma ya malipo!.

Unaongelea umeme unafikiri pesa ya umeme serikali inapata wapi kama sio mikopo, misaada na kodi? sasa sisi tunashauri namna ya kuongeza kodi wewe unataka huduma kama vile zinapatikana bure. Hatuna umeme kwasababu hatupa mapato ya kutosha!. Maji hayo mabwawa yanatengenezwa kwa pesa zinatoka wapi?. Ni lazima Watanzania tuache utoto na kufikiria jinsi ya kutoa kuwa na huduma na zenye kuongeza kodi. Inawezekana hata hujanielewa nachokiongea kama tatizo lingetatatuliwa na whatapp kwanini sasa niliongelee hapa!. Nimetoa mfano wa smile voice inawezekana hata hujui simevoice ni nini!!. Tumia muda kuelewa usikoelewa utabaki kila siku kulalamika maji na umeme na umasikini na hautatoka. Nyie ndiyo mnafikiri tukipata dikteta matatizo yataisha! kumbe tatizo kubwa ni watu kama wewe na fikra ndogo ambazo ndizo zinaturudisha nyuma
 
Hili ni wazo tatizo letu na hii katiba mbaya tulionayo hakuna ubunifu. Sisi diaspora tutanashida sana ya kupata simu za uhakika za kuweza kuongea na ndugu zetu Tanzania. Kuna App siku hizi ambazo unaweza kuweka na kupiga simu kutoka popote na kuwa na namba ya simu kabisa kama upo Tanzania. Hii itasaidia sana kuongeza kodi kwa serikali na kutatua tatizo la simu.

Serikali fanyeni utaratibu huu maana utaratibu wa sasa wa lazima kuwa na NIDA ili kuweza kuwa na namba ya simu hauwezi kufanikiwa kwa diaspora badala yake tafuteni uratatibu na App maalumu kwa diaspora tu ambayo ina vigezo vichache na hata namba maalumu ili muweze kupata kodi na kurahisisha kama wenzetu wa kenya. Kenya mfano wana App unalipia $3 kwa mwezi na kupata 200 minutes na ukipiga simu ni kama local. Sisi inabidi tutumie whatApp ambazo hazina uhakika au tununue kadi za simu lakini serikali haipati kodi maana hizo kadi za simu ni za nchi za nje.

Kuna kampuni inaitwa SmileVoice ilikuwa na hii App lakini tatizo ni lazima mtu awe Tanzania kuweza kupata line na lazima uwe na NIDA.
Unataka kusikilizwa maongezi yako na serikali?
 
Maongezi yote Tanzania yanasikilizwa kama haujui. Na ndiyo maana katiba ni muhimu. Membe, Nape, Makamba hata Kinana anajua vizuri haya
Sasa achana na ujinga wa TTCL.

Whatsapp wana encrypt mazungumzo end to end.

Kuna solutions kibao za data. Encrypted.

Kwa nini unataka kutegemea TTCL halafu mazungumzo yako yadukuliwe?
 
Tatizo hamjui hata nachokiongea SmileVoice kwa mfano ilikuwa haikati kati kama whatapp. Pili Whatapp ni kwa watumiaji wa wahaapp tu huwezi kumpigia mtu mwingine kama simu ya kawaida. Sisi sio wajinga tukiandika kitu hapa inawezekana ukawa haujakielewa lakini tunajua tunayokiandika. Wakati mwingine tunakuwa mbele sana kwa mtu wa kawaidia kutuelewa na cha kushangaza wasioelewa wanafikiri sisi ndiyo wajinga!
 
Nakwambia hivi, wewe ndiye unalea tatizo kwa kusubiri TTCL wakati mitandaoni hata kama hutaki Whatsapp unaweza kutumia Rebtel na mitandao mingine kibao.

Wewe unakaa diaspora gani? Msumbiji?

Mbona unaonekana mshamba mshamba bado?
 
Maongezi yote Tanzania yanasikilizwa kama haujui. Na ndiyo maana katiba ni muhimu. Membe, Nape, Makamba hata Kinana anajua vizuri haya
Membe gani tena? Kuna mwengine maana tunayemjua sisi alishakufa. Uko dunia ya ngapi ndugu?
 
Naongelea shirika la serikali kuongeza mapato ya serikali ambayo ndiyo yataleta umeme na maji. Cha kushangaza Watanzania wengi kama wewe mnafikiri kila wakati ukiongelea serikali ni kuomba msaada hata pale ambako wengine wanatoa mbinu za maongezeko ya mapato. Huu sio msaada wa huduma ya malipo!.

Unaongelea umeme unafikiri pesa ya umeme serikali inapata wapi kama sio mikopo, misaada na kodi? sasa sisi tunashauri namna ya kuongeza kodi wewe unataka huduma kama vile zinapatikana bure. Hatuna umeme kwasababu hatupa mapato ya kutosha!. Maji hayo mabwawa yanatengenezwa kwa pesa zinatoka wapi?. Ni lazima Watanzania tuache utoto na kufikiria jinsi ya kutoa kuwa na huduma na zenye kuongeza kodi. Inawezekana hata hujanielewa nachokiongea kama tatizo lingetatatuliwa na whatapp kwanini sasa niliongelee hapa!. Nimetoa mfano wa smile voice inawezekana hata hujui simevoice ni nini!!. Tumia muda kuelewa usikoelewa utabaki kila siku kulalamika maji na umeme na umasikini na hautatoka. Nyie ndiyo mnafikiri tukipata dikteta matatizo yataisha! kumbe tatizo kubwa ni watu kama wewe na fikra ndogo ambazo ndizo zinaturudisha nyuma
Mnadeka mno wazee.....
Nani nani aliwaambia Nyie ndio mtakuwa wakombozi wa hili taifa?
Hatukatai, kuna mambo huwa mnaongea tunaona yakiwa na Tija.
Ila mengine mnajichoresha tu.....
 
Back
Top Bottom