Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ijumaa limekuwa tatizo. Aliyepelekwa China sijajua hata ataanzia wapi? Aliyekuwepo China amefanya makubwa na uwekezaji uliongezeka. Siku ya Ijumaa sijajua ataanzia wapi na ana uwezo mdogo...
8 Reactions
55 Replies
10K Views
BUNGE BUNGE ni uti wa mgongo wa demokrasia ya uongo iliyopo kwenye ulimwengu wa sasa. Bunge sio uwakilishi wa watu na mfumo wa mabunge sio suluhu katika matatizo ya demokrasia. Bunge kwa asili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili. Tayari...
30 Reactions
125 Replies
12K Views
Kwa mara nyingine Tena, Mahakama ya Africa ya Haki za Binaadamu (African Union Court of Human and People's Rights) imetoa tamko juu ya adhabu ya kifo iliyopo kwenye sheria za makosa ya jinai ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Tumesikia hawa watuhumiwa wamekataa kutoa vielelezo vifuatavyo kama ushahidi. 1. Maelezo yao ya onyo 2. Wamekataa kurekodiwa sauti 3. Waandishi wa habari online na live hakuna aliyehojiwa...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimeona niseme hapa jambo muhimu. Iwapo kama siyo Mungu hakuna anayeweza lolote, basi aliye juu aangalie asijeanguka. Ujumbe kwa watawala upo katika Ufunuo wa Yohana 3: 11. Naam atakuja...
3 Reactions
8 Replies
788 Views
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi...
44 Reactions
154 Replies
14K Views
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa Bujumbura, tarehe 4, Februari 2023. Picha na Tchandrou Nitanga / AFP. Polisi nchini Tanzania wamewakamata wakili mmoja na mwanasiasa wa upinzani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa Kikao...
1 Reactions
0 Replies
579 Views
Tathmini ya maeneo ya Kata ya Nyatwali, Wilaya ya Bunda ilifanyika mwezi Januari, 2023 na wananchi kuahidiwa kuwa watalipwa siyo zaidi ya mwezi. Mpaka sasa malipo hayajafanyika licha ya...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Baada ya kusikiliza clip ya Dr. Slaa inayotajwa kuwa ndio ushahidi wa Dr. Slaa kuongea kusudio la kupindua serikali, binafsi naamini huko mahakamani definition ya uhaini kwa maana ya kupindua...
1 Reactions
82 Replies
6K Views
MKAZI wa Mtaa wa Nyabubele Kata ya Kasamwa Kukailwa (40), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita kwa mashtaka ya kunajisi mwanawe - msichana mwenye miaka 14. Alipandishwa...
3 Reactions
5 Replies
868 Views
CCM kwakuwa hakina uhalali wa kisiasa kimeamua kujificha nyuma ya dola ili kisipelekwe makumbusho, maana CCM haipo kwa umma kimebaki kwenye joho la udola. Ndio maana suala la bandari lilipoanza...
0 Reactions
2 Replies
549 Views
My Take 😂😂😂😂😂 akina Chalamila wako wengi 🤣🤣🤣🤣 https://www.youtube.com/watch?v=85aYl10-mJY Mkuu wa mkoa wa Tanga Waziri Kindamba amewaonya watu wenye nia ovu ya kuleta uvunjifu wa amani kwa...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Lile tatizo la miaka 5-10 iliyopita limrudi tena. Serikali inadaiwa imeanza tena kutoa Tender za ujenzi bila kuwepo fedha za kuwalipa Makandarasi. TANROADS kama idara ya serikali, pamoja na...
1 Reactions
5 Replies
875 Views
Wale wazalendo waliofungua kesi ya kupinga Mkataba duni wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai, ambao kimsingi walishinda kesi yao ya awali huko Mbeya , Kabla ya Majaji kupata kigugumizi...
33 Reactions
112 Replies
11K Views
Waziri wa Madini Dkt. Dotto Biteko amesema mchango wa sekta ya madini katika Pato la Taifa umeongezeka kutoka asilimia 6.8 hadi kufikia asilimia 9.11 kwa mwaka 2022/23. Pia amewataka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Poleni sana. Mkataba wa DP World imetufumbua macho hata sisi wananchi wa vijijini. Ni ushauri kwa Mamlaka. Mikataba yote itakayoingiwa na Serikali katika siku za usoni ijumuishe Watalaam...
0 Reactions
7 Replies
587 Views
TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA TAARIFA ZINAZOSAMBAA ZIKIHUSISHWA NA SERIKALI YA TANZANIA KUSHINDWA KUMLIPA MKANDARASI YAPI MERKEZI NA KUPELEKEA KUSHINDWA KULIPA MISHAHARA WAFANYAKAZI WA KITURUKI...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Viongozi na Wakuu wa Taasisi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo wameendelea kupokea elimu kupitia Mada mbalimbali zinazotolewa na viongozi na Wataalam mbalimbali katika nyanja tofauti katika...
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Back
Top Bottom