Malumbano ya kisiasa hayana afya kwa ustawi wa demokrasia nchini

Sep 13, 2023
35
46
Yanayoendelea miongoni mwa vyama vya siasa na vyama vya kiraia hususani chadema na sauti ya watanzania ni kudhoofisha afya na ustawi wa demokrasia nchini. Ni kudhoofisha jitiahada zilizoanza vyema sana za kutetea haki, uhuru, usawa na demokrasia.

Malumbano yanarudisha nyuma na kupoteza uelekeao kwa dira hiyo muhimu nchini iliyoanza kuleta nuru na matumaini ya mabadiliko na maendeleo.

Inasikitisha na inakatisha tamaa sana.

Kaeni chini, muyamalize na kurejesha matumaini ya wengi tena.
 
Yanayoendelea miongoni mwa vyama vya siasa na vyama vya kiraia hususani chadema na sauti ya watanzania ni kudhoofisha afya na ustawi wa demokrasia nchini. Ni kudhoofisha jitiahada zilizoanza vyema sana za kutetea haki, uhuru, usawa na demokrasia...
wanatafuta ugali
 
Ujumbe wako mzuri lakini machawa don't care ili mradi mkono wao unaenda kinywani
 
Iwapo malumbano hayana manufaa,vipi kuhusu ukondoo? Wenyewe una na anafaa yapi🤔
 
Back
Top Bottom