Mbowe: Sina nongwa na Dkt. Slaa, lakini hatuwezi kushiriki Mikutano yao ambayo hawajatushirikisha kwenye kuiandaa. Sisi tuna +255 Operesheni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,980
141,996
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema hana nongwa na Dr Slaa, Wakili Mwabukusi wala Mdude Lakini Chadema ni Chama kikubwa kinachotarajia kushika Dola hakiwezi kuburuzwa buruzwa

Mbowe amesema akina Mwabukusi wamepanga Mikutano ya Mwanza, Arusha na Mbeya Bila kuwashirikisha halafu Wanataka Chadema ishiriki hilo haliwezekani

" Wazee wangu hivi sasa Chama kinatumia gharama kubwa sana kuendesha Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu sasa Wenzetu Wanataka tuache tukaungane nao, nasema hilo haliwezekani" amesisitiza Mbowe

Wamepanga bajeti na kila kitu Peke yao halafu tunapowakatalia kushiriki wanatuita Wasaliti, tumemsaliti nani? amelalamika Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe

Mbowe alikuwa anaongea na Wazee wa Chadema yaani BAZECHA

Alipofika karibu aliuona mji akaulilia akisema Laiti ungelijua yapasayo Laiti ungelijua Amani 😂😂🔥
 
record.jpg
 
Nafikiri hata Dr. Slaa hana nongwa na Chadema kwani alishaondoka tangu 2015 ila huyu Mwabukusi ndiye anadandia gari kwa mbele,haingii akilini aiburuze Chadema iache ratiba zake na kumuunga mkono kwenye harakati zake hadi kuanza kuwaita wasaliti. Kama hashukuru support aliyopewa na Chadema wakati wa sakata lake japokuwa siyo mwanachama wao basi hana shukrani.
 
Tundu lissu ndio yuko nyuma ya mdude na mwabukusi, chadema kilishapasuka kitambo sasa kinaenda kufia mikononi mwa mbowe, viongozi upinzani tanzania bara njaa ni tatizo kwao hela inamfanya kila mtanganyika asiaminike tena
Ni kweli

Tundu Lisu, Wakili Mwabukusi, Mdude, Dr Slaa, Mbatia, Nondo, Heche na Hata J J wanatajwa Kuwa Kundi moja 😀🐼
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema hana nongwa na Dr Slaa, Wakili Mwabukusi wala Mdude Lakini Chadema ni Chama kikubwa kinachotarajia kushika Dola hakiwezi kuburuzwa buruzwa

Mbowe amesema akina Mwabukusi wamepanga Mikutano ya Mwanza, Arusha na Mbeya Bila kuwashirikisha halafu Wanataka Chadema ishiriki hilo haliwezekani

" Wazee wangu hivi sasa Chama kinatumia gharama kubwa sana kuendesha Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu sasa Wenzetu Wanataka tuache tukaungane nao, nasema hilo haliwezekani" amesisitiza Mbowe

Wamepanga bajeti na kila kitu Peke yao halafu tunapowakatalia kushiriki wanatuita Wasaliti, tumemsaliti nani? amelalamika Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe

Mbowe alikuwa anaongea na Wazee wa Chadema yaani BAZECHA

Alipofika karibu aliuona mji akaulilia akisema Laiti ungelijua yapasayo Laiti ungelijua Amani
Alikuwa anaongea na Baraza la Zee la Chadema (BAZECHA)
 
Mwambuzi katika zizi la kondoo
🤗
Mboe kaona mbele. Mwambuzi alitaka awatumie wenzake ili kukuza umaarufu wa law firm yake na kutoboa kwenye ubunge '25!
Yaani aitumie Chadema yenye Mbunge mmoja kupata Ubunge 2025? 😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom