Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mzee Kishimba yupo zake kwenye mkutano wa Lissu, kasimama na wana anakula zake Muhindi. Safi sana Mzee anamiliki Dar Free market, zile supermarket za Imalaseko, utitiri wa nyumba za kupangisha...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Hakika shetani ana trick za ajabu sana anapotaka kutenda au anapotenda uovu wake kwa kuwatumia watu waovu hususani viongozi wenye dhamana kubwa za kuongoza nchi na wananchi wa nchi yetu.. Hebu...
44 Reactions
209 Replies
21K Views
Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso, amefanya kikao kazi na watumishi wa Chuo cha Maji pamoja na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ambayo mchakato aliuanzisha na Rais Samia kuridhia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Na Askofu Bagonza 1. Rushwa Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakiishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa...
28 Reactions
41 Replies
7K Views
Utangulizi. Chama cha ACT Wazalendo kupitia Kamati ya Kuisimamia Serikali ya Wasemaji wa Kisekta (Baraza Kivuli la Mawaziri) imekuwa ikifuatilia kwa karibu maoni na majadiliano juu ya madai ya...
1 Reactions
3 Replies
814 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo amejitokeza mitaani kusalimia Wananchi ambao ni Watanzania wenzake. Uungwana ni Vitendo . Sent from my...
21 Reactions
70 Replies
4K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Saidi Yakubu amefungua kikao kazi cha Maafisa Utamaduni na Michezo leo Agosti 27, 2023 mkoani Njombe ambapo ametoa maagizo manne makubwa kwa...
1 Reactions
0 Replies
441 Views
Kwa uzoefu tu hii itilafu ya mitambo ya umeme Ni yakutengeneza na TUTEGEMEE TANESCO NA WAZIRI KUJA NA DILI NONO LA KUPIGA MABILIONI YA PESA. Tanesco ndio kampuni kinara la kuandaa Miradi ya...
1 Reactions
1 Replies
586 Views
Nianze moja kwa moja. Hii ni kuhusu maduka mapya ya CCM maarufu kama CCM HQ. Haya maduka, yaliyoko maeneo ya SIDO ni mapya lakini kuna mgogoro unafukuta. Na kama usipoangalia, utakuangusha 2025...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Balozi anayemaliza muda wake Nchini China, Mbelwa Kairuki ambaye kwa sasa amepangiwa Kituo kipya cha kazi Nchini Uingereza, amefanya Mahojiano Maalum na Kituo cha TV Mjini Beijing yenye lengo la...
0 Reactions
0 Replies
605 Views
SERIKALI ISIKUBALI MTAFARUKU WA BANDARI KUCHUKUA MKONDO WA KIDINI, NI NGUMU KUIDHIBITI. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Haya mambo yanayoendelea ndani ya nchi Kwa kweli hayavutii na kuna...
32 Reactions
101 Replies
6K Views
Chama tawala cha CCM ni kama wamepigwa ganzi. Kwa mazoea mabaya ya miaka michache iliyopita wamepigwa ganzi kwenye haya 1. Hawawezi tena kuja na hoja za muhimu wakati wenzao wapinzani wanatoa...
5 Reactions
8 Replies
997 Views
Kwa namna Mwalimu Nyerere alivyoitengeneza Tanzania kamwe huwezi kuipata Nguvu ya Umma na kwa maana hiyo Chadema wanajidanganya kwa makusudi kabisa Kila nikimsikiliza Mdude namuona kama Mtu...
0 Reactions
4 Replies
570 Views
Leo akiwa mkoa wa pwani ameeleza jinsi viongozi wamkoa wa Mbeya wanavyotafuna pesa za umma bila huruma, hata hivyo amesema kwamba tayari ameshaunda kamati ya uchunguzi kwaajili ya tukio hilo...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Chief Moyo Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 28...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huu wizi wa fedha za umma unasitua sana. Mh Rais Samia amesema wafanyakazi Halmashauri wamejijengea utaratibu wa KUIBIA serikali! Wizi una baraka zote za TISS, POLISI na watendaji RAS, hadi Mkuu...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Ukikaa vijiweni, baa au kwenye maofisi ya umma, mjadala ni namna CHADEMA wanavyopambana kulinda rasilimali za Tanzania. Utasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili. Nilikuwa...
10 Reactions
83 Replies
6K Views
MAKAMU MWENYEKITI UWT MNEC. ZAINAB SHOMARI ATEMBELEA MRADI WA MAJI TINDE-SHINYANGA Makamu Mwenyekiti wa umoja wa wanawake Tanzania UWT Taifa MNEC Zainab Shomari jana Agosti 27.2023 ametembelea...
0 Reactions
1 Replies
903 Views
Mtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom