Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lhttps://youtu.be/bGhJUwcaSCE?si=iGsZTB8KoqJ3pnpx Kwa mtindo huu wa serikali kushupaza shingo dhidi ya Wananchi na wapiga kura wake! Kwa mtindo huu wa Chama kutekwa na kufanyiwa Mapinduzi na...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya, kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, imefanya operesheni maalum katika mkoa wa Iringa na kufanikiwa kukamata jumla ya...
1 Reactions
1 Replies
674 Views
Hata mimi nina threads kadhaa za kuuponda mkataba wa DP World na Tanzania kutokana na vipengere visivyo na manufaa kwa nchi yetu. Kimsingi kila mwananchi kwa sasa amekuwa bingwa wa mikataba na...
1 Reactions
11 Replies
760 Views
👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini...
37 Reactions
72 Replies
5K Views
Rais Samia amewatimua kazi DC na DED wa wilaya ya Mtwara baada ya wananchi wa kata moja kurudisha kadi za CCM kwa sababu ya kuhamisha mradi uliokuwa ujengwe kata hiyo kuhamishiwa kata nyingine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Asalam. Nimefuatilia hotuba ya Rais wetu Mpendwa. Nikaona maudhui Mengi ni ya Mkutano Mwingine, sio huu. Hotuba imejaa masuala ya North-South badala ya BRICS. Iko hivi, Kwenye Diplomasia na...
12 Reactions
53 Replies
5K Views
Kati ya mikataba 32 wa kwanza wa Dp world umeshaanza kuleta mgawanyiko ! wengine wanasema itikadi za kidini wengine mkataba hauna maslahi kwa taifa Nionavyo mimi mama aitoe mikataba yote...
1 Reactions
4 Replies
508 Views
Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM? Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020. Bila kukomaa na...
7 Reactions
42 Replies
6K Views
Najiuliza tu kwanini wakati wa Shujaa Magufuli watu hawakurudisha Kadi za CCM japokuwa kulikuwa na mapungufu pia serikalini? Au walikuwa wanamuogopa tu, maana badala ya kurudisha kadi wafuasi wa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo. Cha ajabu Serikali ya Rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia...
6 Reactions
55 Replies
9K Views
WAZIRI MHAGAMA APOKEA MWONGOZO WA KITAIFA WA UFUATILIAJI NA TATHMINI KATIKA TAASISI ZA UMMA. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu nayeshugulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama...
0 Reactions
1 Replies
684 Views
Kwema Wakuu! Nikishasikia kiongozi wa kisiasa hataki viongozi wa dini wakemee Maovu hasa ya haohao watawala na kuingiza neno isichanganywe dini na Siasa, hapo napatwa na harufu ya uovu. Hakuna...
1 Reactions
4 Replies
647 Views
Kumekuwepo na maneno ya hapa na pale kutoka Kwa wananchi wakijiuliza maswali mengi kuhusu mkataba wa DP world kwamba baada ya rais kustafu je nae ataandika kitabu Cha historia yake na kujutia...
0 Reactions
1 Replies
542 Views
Mwenyezi Mungu alitupa nchi takatifu. Akatupatia waasisi. Akawapa elimu na utambuzi na akaamuru tuwe taifa huru. Watu mtakaoishi humo mpate hifadhi ya makazi na ardhi nzuri ya kuzalisha kila aina...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nadhani sote rumesikia kuwa Bunge limemwalika nabii GeoDavie akafanye maombi maalum Bungeni. Hatujaambiwa sababu ya kufanya hivyo. Lakini hili linatokea: 1) Baada ya Bunge kubariki mkataba wa...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku 'Musukuma' Vikao vya bunge vimefunguliwa rasmi leo tarehe 4/4/2023. Katika kikao cha leo, shughuli za Bunge zilisimamishwa kwa ajili ya Azimio la kumpogeza...
9 Reactions
12 Replies
3K Views
Mkakati waliachana na Dr. Tulia Ackson- umekamilika ambapo wenye chama chao na ambao wakati wa regime iliyopita alitumia madaraka yake kuwaumiza wanaenda naye taratibu kuelekea 2025. Wanafahamu...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Wema ni Akiba,Ni akiba isiyooza ,ni akiba ya kudumu,.Ukitenda wema Tegemea kulipwa Mema ,inaweza isiwe leo au kesho lakini fahamu ya kuwa Wema una Tabia ya kumrudia...
0 Reactions
102 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Wakati baba wa taifa Mwalimu Nyerere anawasha Mwenge na kuupandisha Mlima Kilimanjaro Lengo lilikuwa kutuunganisha Watanzania Lakini leo Mwenge unamilikiwa...
0 Reactions
0 Replies
343 Views
Kuna trend imezuka ya Chadema Kwa makusudi kuamua kuwapotosha Wananchi wasio na uelewa kwamba Uwekezaji ni wizi,kugawa rasilimali za Nchi au kuuza Nchi. Tabia hii ni mbaya sana kwenye ulimwengu...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom