Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi...
27 Reactions
98 Replies
9K Views
WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO - ZAIDI YA ASILIMIA 50 YA WATANZANIA HAWAIFAHAMU KATIBA, ELIMU YA KATIBA KUTOLEWA KWA MIAKA MITATU "Kuna tafiti kadhaa zimefanyika na kubaini zaidi ya asilimia 50 ya...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
MIUNDOMBINU BORA YA ELIMU, SHULE YA SEKONDARI MWAKATA-KAHAMA Matukio kwenye picha Ziara ya Makamu mwenyekiti wa UWT MNEC. Zainab Shomari mapema leo Agosti 28.2023 akiwa wilayani Kahama Mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawasalimu wanaJF. Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania. Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:- 1. UJINGA 2...
34 Reactions
395 Replies
18K Views
MAKAMU MWENYEKITI UWT MNEC. ZAINAB SHOMARI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KAGONGWA-KAHAMA Makamu mwenyekiti wa UWT MNEC. Zainab Shomari mapema leo Agosti 28.2023 akiwa wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga...
1 Reactions
1 Replies
625 Views
Asalam, Msiopenda utaratibu wa mimi kufuatilia na kusoma kwa makini hotuba za Rais wangu Mpendwa mtanisamehe. Mwaka 2021 Fatma Karume (Shangazi wa Taifa ) aliandika andiko moja muhimu sana juu ya...
13 Reactions
47 Replies
5K Views
Mwarabu wa Dubai anavyong'ang'ania ardhi ya Wamasai Loliondo na anusukuma Serikali hadi serikali inapinda sheria ili kumpendeza na kumtimizia haja yake. Waziri wa Maliasili amefika Loliondo mara...
3 Reactions
40 Replies
8K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara Wilaya ya Kusini Unguja tarehe 29 Agosti, 2023 visiwani Zanzibar...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe amesema kama watafanikiwa kupata watu 1000 kutoka kila mtaa wa DSM ina maana katika mitaa 560 watakuwa na jumla ya watu 560,000. Mbowe amesema kwa idadi hiyo watakuwa...
8 Reactions
63 Replies
4K Views
Ujenzi wa uboreshaji soko la Mbagala Zakhiem umekamilika na wafanyabiashara wa soko hilo walitegemea warejeshwe kwenye soko hilo kulingana na utaratibu waliopewa kabla ya ujenzi, kinachoendelea...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Jana usiku Umeme ulikatika Nchi nzima Kenya hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta hali iliyoprlekea Usumbufu kwa wasafiri Waziri wa Usafiri amemtumbua Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Hii nchi kila kitu ni drama; waziri wa katiba na sheria na watumishi wa ofisi yake tayari wameandaa kinachoitwa kampeni ya elimu ya katiba mpya na bajeti yake inalengwa kwa mwaka wa kwanza kutumia...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Kwa wanaokumbuka kashfa iliyotikisa nchi wakati wa utawala wa Ali Hassan Mwinyi ya Loliondo watakuwa na mengi ya kusema. Je yule mwarabu Brigedia Ali wa falme za kiarabu ndiye huyu huyu...
1 Reactions
97 Replies
13K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe amesema Awamu ya 6 ilipoingia madarakani wamekuta kila Kitu kimeuzwa isipokuwa Bandari tu ndio nao wakaamua kuiuza hiyo Hiyo Bandari. Mbowe amesema Awamu ya 2 waliuza...
22 Reactions
67 Replies
5K Views
Simba na Yanga hakuna utalii wanao utangaza hizi swagwa ni za kutudanganya. Utalii unatangazwa kule Budapest Romania, sasa tunashindwa kuwekeza kwenye michezo tumewekeza sana kwenye Siasa michezo...
0 Reactions
1 Replies
474 Views
Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za Binadamu nchini (LHRC), Dk. Anna Henga amesema kitendo cha kufikiria kuanza kutoa elimu kuhusu Katiba (1977) inayotumika kwa sasa ambayo tayari kumekuwepo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unauliza sana, Ajenda kuu kwa Sasa ni katiba mpya, tunahitaji mabadiliko ya katiba ili tutengeneze mfumo mzuri tunaoutaka Kama Watanzania juu ya maisha yetu. Hili ni suala muhimu sana kwa...
0 Reactions
2 Replies
768 Views
Siasa ni kama mchezo wa mpira uwanjani mechi matokeo uamuliwa na refa kama refa atapendelea timu moja basi kuna kila sababu refa huyo akafutiwa leseni yake ama kufungiwa kuchezesha mechi kadhaa...
1 Reactions
4 Replies
659 Views
Asalam Aleykum, Niliwahi kusema hapa Jukwaani kwamba nchi yetu ni " A sleeping giant". Hii ni kutokana na kwamba licha ya kuwa na raslimali za kila aina lakini bado Watanzania wengi tunaishi...
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Mungu ulioko Mbinguni sisi tulio watoto tunalilia Taifa la Tanzania. Mungu vivuvie nguvu uwezo wakijasusi na akili za ajabu Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa Taifa hili Mungu wangu naijulikane...
11 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom