HARAKATI ZA Comrade Ally Maftah Na CCM

Nov 6, 2016
51
141
ZIARA YA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA JUMUIYA YA WAZAZI MBEZI JUU

Kamati ya utelekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi ikiongozwa na Mwenyekiti Oswald Mwasuka, imefanya ziara kwenye matawi ya CCM kukutana na viongozi wa matawi kuzungumza mambo kazaa

1. Utekelezaji wa Ilani ya CCM
2. Kuimarisha chama
3. Kubuni miradi
4. Kuongeza wanachama

Hayo yamezungumzwa na viongozi wa Jumuiya na kutiliwa mkazo na Comrade Ally Maftah ambae amekuwa akisisitiza suala la kuibuwa fikra za kujitegemea kwa kujiinua kiuchumi.

Ziara hiyo imeambatana na maombolezo ya Mwl Julius Nyerere, ambapo viongozi hao wamesisitiza kumuenzi Mwl Nyerere kwa kuenzi siasa za ujamaa na kujitegemea.

Imeandikwa na
Comrade Ally Maftah
Mjumbe Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam

20231014_135606.jpg
 
View attachment 2781903
Naunga mkono hoja comrade Comrade Ally Maftah
P
 
Nani anaishi kijamaa sahvi haha

Wote huko wanaishi kibepari tu

Ova
 
Hatuombolezi tunasheherekea maisha ya ushindi ya hayati baba wa taifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom