Rasi Samia: Kuanzia Sasa anayevurunda kazini akae Pembeni

Rasi Samia: Kuanzia Sasa anayevurunda kazini akae Pembeni

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,561
Reaction score
90,009
SASA HIVI ANAYEVURUNDA KAZINI AKAE PEMBENI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kupokea ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na utendaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo tarehe 12 Oktoba, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam

MY TAKE:
Ni jambo zuri kama utalitekeleza kweli maana Kuna mambo mengi mazuri Huwa unayaongea ila kwenye utekelezwaji ndio tatizo linapokuja.

This time fanyeni kweli,mtu aliharibu hakuna kumhamishia sehemu Bali apigwe chini mazima au hakuna kumpa nafasi ya ubalozi maana Nafasi za Ubalozi zimegeuka ndio chaka la kuweka walioshindwa.

 
Nilimsikia na Waziri wa Ardhi akizungimzia Hilo
 
Kaenda Makamba tu shida zote hizi! Makamba kiufupi ni mtu mwenye roho mbaya sana! hawa makamanda wanaopelekwaga nje huko yeye hajajua tu madhara yake ukiwaacha humu ndani wakati wanakuwa wamebeba mengi yanayoweza kuleta shida wakikaza
 
Back
Top Bottom