Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Rais wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameandika Ujumbe wa kumpongeza Emmerson Manangangwa kwa Kuchaguliwa Kuwa Rais wa Zimbabwe Ameandika "On...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tulisema tangu awali kwamba , Mwisho wa ccm umefika rasmi , kuna waliobisha , lakini Ukweli ni kwamba hiki chama bila Polisi ni wepesi kuliko pamba . Huko Shinyanga hali ya ccm imekuwa tete kiasi...
12 Reactions
64 Replies
6K Views
Imeripotiwa na Clouds TV kwamba mh Neema Lugangira baada ya Kupata Baraka za Baba Mtakatifu Papa Francisco mwenyewe anayeketi Kitini pake Petro Mtume sasa ataanzisha Maktaba kubwa sana hapa nchini...
2 Reactions
6 Replies
854 Views
Bado sehemu mbalimbali za nchi yetu zinaendelea kujadili kuhusu Uwekezaji wa DP-World. Mbaya zaidi, mitazamo inayotolewa sasa inajadiliwa kwa milengo ya kidini, jambo ambalo si la kawaida katika...
19 Reactions
101 Replies
5K Views
Kuna wakati inafika mahali inabidi kupeana semina elekezi huku huku maana watu wanateuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali bila maandalizi na wao wanapoingia ofisi husika hufanya wanayoyajua wao bila...
15 Reactions
89 Replies
23K Views
Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni. Tunajua kuwa...
16 Reactions
62 Replies
4K Views
Wanachama na viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Kata ya Didia, Jimbo la Solwa, mkoa wa Shinyanga, ni miongoni mwa wananchi waliopiga kura ya wazi leo kupinga Mkataba baina...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anaendelea kujizolea sifa, kuandikwa jina lake kwa wino wa dhahabu katika mioyo ya Watanzania, kuacha alama za kukumbukwa na Watanzania kutokana na misimamo...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Ikumbukwe kuwa Waraka wa TEC umeandaliwa kufuatia kazi kubwa iliyofanywa na Wasomi Wabobezi walio Kanisani baada ya Kufanya Utafiti wa kutosha Na hata wanaofafanua Waraka Kanisani ni Maaskofu na...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele. Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuanza kuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa...
15 Reactions
146 Replies
8K Views
Katika watu waliompongeza sana Samia, toka siku za mwanzo ni vyama vya upinzani na wale wanaopenda demokrasia na utawala wa haki na sheria. Katikati ya pongezi hizo, mara utawala wa Rais Samia...
2 Reactions
5 Replies
737 Views
Naomba Wanasheria wa hapa Jf mnieleweshe , hii inakuwaje ? DC ni cheo cha kusaidia serikali , inawezekanaje kufutwa kazi kwa sababu kuna wanaccm wamerudisha kadi za Chama ? Chama cha siasa huwa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Laana inaweza kuonekana dhahiri au ikaonekana kwa kuyatafsiri maisha halisi ya mtu ! Kila nilipokuwa narejea nyumbani nilimpa kipaumbele mama kuliko baba! ,Na mama aliutumia udhaifu wangu...
14 Reactions
31 Replies
3K Views
Katika wilaya kuna Viongozi wangapi wanaoteuliwa na Rais kuanza na Mkuu wa wilaya?
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Habari za muda huu, Niende kwenye kichwa cha thread, naona mkataba wa bandari utakua na faida nying sana mfano Kuongezeka kwa biashara ya Tanzania na nchi zingine Africa, hii na baada ya upanuzi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huku wakibeba mabango ya kutuma ujumbe kwa rais Samia, akina mama wa kimasai wameishutumu serikali ya Samia ya kuwalazimisha kuondoka ngorongoro na kwenda huko Tanga. Wakitumia kauli za uchungu...
14 Reactions
93 Replies
7K Views
Heslb wamekuwa wakikata hela hovyo Kwa watumishi wa umma hata Kwa watumishi wa umma wasio wanufaika au wanufaika waliomaliza madeni Yao ya Mikopo bila utaratibu.Inaonekana Hawana database ya...
1 Reactions
3 Replies
542 Views
Kichwa cha thread kinajieleza Yanayojitokeza huko Shinyanga hayana afya yoyote kwenye Chama chetu Sina mengi ni hilo tu Mlale unono 😀
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Umofia kwenu. Wanajamvi, Nimesikiliza hotuba ya Rais wa awamu ya 4 Mh. Jakaya kikwete akikemea viongozi wa Dini kujihusisha na siasa. Hotuba ya kikwete inakuja banda ya baraza la maaskofu...
16 Reactions
71 Replies
9K Views
Leo ikiwa ni Wiki ya Pili ya Tamko la Maaskofu kusomwa Makanisa yote ya Roman Catholic, nimevutiwa na Maneno aliyoyaongea Paroko mmoja kwenye Ibada " Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo...
61 Reactions
109 Replies
7K Views
Back
Top Bottom