Je, CCM wameanza kampeni za uchaguzi wa 2025?

TikTok2020

JF-Expert Member
Oct 20, 2022
1,817
3,141
Wanajamvi

Nauliza iwapo kampeni zimeanza, maana ninachokiona kwa CCM ni kama wameanza mapema mno bila vyama vingine kushtukia.

Mifano na viashiria ni vingi lakini leo nitazungumzia ziara ya kufunga mbio za Mwenge Manyara zilivyoombatana na wasanii wa ‘Mama ongea na Mwanao’.

Hii imekaaje?
 
Wanajamvi

Nauliza iwapo kampeni zimeanza, maana ninachokiona kwa CCM ni kama wameanza mapema mno bila vyama vingine kushtukia

Kawe huku kuna tamasha la wazi la mabondia nalo ni kampeni tupu
 
Huku kwetu chakijani kinafanya mikutano kila kata na kila Kijiji kumsifia mama
 
Wanajamvi

Nauliza iwapo kampeni zimeanza, maana ninachokiona kwa CCM ni kama wameanza mapema mno bila vyama vingine kushtukia

Mifano na viashiria ni vingi lakini leo nitazungumzia ziara ya kufunga mbio za Mwenge Manyara zilivyoombatana na wasanii wa ‘Mama ongea na Mwanao’.

Hii imekaaje?
Unyama wanaoufanya kwa wananchi wanaujua ndio maana wanapita kujisafisha ingawa hawawezi kufanikiwa kabisa kwa sasa.
 
Wanajamvi

Nauliza iwapo kampeni zimeanza, maana ninachokiona kwa CCM ni kama wameanza mapema mno bila vyama vingine kushtukia

Mifano na viashiria ni vingi lakini leo nitazungumzia ziara ya kufunga mbio za Mwenge Manyara zilivyoombatana na wasanii wa ‘Mama ongea na Mwanao’.

Hii imekaaje?
Mbona mama alipoingia madarakani na kampeni ndipo ilipoanzia kwa kuweka mabango nchi nzima.
 
Wanajamvi

Nauliza iwapo kampeni zimeanza, maana ninachokiona kwa CCM ni kama wameanza mapema mno bila vyama vingine kushtukia

Mifano na viashiria ni vingi lakini leo nitazungumzia ziara ya kufunga mbio za Mwenge Manyara zilivyoombatana na wasanii wa ‘Mama ongea na Mwanao’.

Hii imekaaje?
Uwoga wako tu huo, CCM wanakaguwa ahadi zao kwa wanachi. Watazunguka nchi nzima.

Kampeni bado sana.
 
Ni vizuri kama wataanza hizo kampeni mapema, ili hata watu wenye akili zinazotembea taratibu sana/polepole wapate nafasi ya kujua hadaa wanazofanyiwa na hawa viongozi na chawa wao.
 
Uwoga wako tu huo, CCM wanakaguwa ahadi zao kwa wanachi. Watazunguka nchi nzima.

Kampeni bado sana.
Wanafanya kampeni kwa staili mbalimbali hata milioni tano za goli kwa simba na yanga ni sehem ya kampeni ,wanamuuza kwa sbb wanajua hakubaliki ,mbinu ni nyingi sn na usitarajie uchaguzi kuwa huru na wa haki
 
Mi nmekutana na mdada kavaa tshirt na kofia za ccm yuko na daftari sijui anaandika majina ya vijana ya nini....nikawaza labda wanapita kuchukua size, muda wa kugawiwa tishirt, kofia na vitenge umewadia
 
Back
Top Bottom