Mnyika kuongoza maandamano ya amani

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,202
5,012
John Mnyika na Halima Mdee wanatarajiwa kuongoza maandamano ya amani kesho tarehe 14 Oktoba 2009 kwa ajili ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kuanzia saa 2 asubuhi yatakayoanzia Tanganyika Packers - Kawe na kupitia maeneo aliyofanyia kazi Mwalimu (Mikocheni, Msasani, Kinondoni, Magomeni, Manzese mpaka Ubungo.

Polisi wametoa kibali kwa ajili ya maandamano haya jioni ya leo na hivyo basi John Mnyika anaomba watanzania watakaopata fursa ya kuungana nao wasisite kushirikiana nao hiyo kesho.

Ni taarifa iliyotufikia toka kwa Mnyika (member wa JF) dakika chache zilizopita
 
Nitajitahidi niwepo mazee! Itabidi niamke mapema sana kuwahi foleni za magari:D.
 
Wakuu tujitokeze kwa wingi kumuenzi Mwl sio lazima aseme rais ndo mje kwa wingi ili mjipendekeze jamani haya ni matembeze ya kumuenzi mwl njooni kwa wingi.
 
Matembezi ya nini,kama mnataka kumuenzi fanyeni kitu cha kueleweka mkazibue mifereji michafu na kusafisha mazingira,faida ya kutembea ni nini?
 
natahakikisha sikosi hayo maandamano, labda tu watuhakikishie hayatakuwa na itikadi za chama chochote yawe tu ya amani
 
Matembezi ya nini,kama mnataka kumuenzi fanyeni kitu cha kueleweka mkazibue mifereji michafu na kusafisha mazingira,faida ya kutembea ni nini?

wazo zuri ila sijui kama watanzania wapo na fikra kama hizo
 
Matembezi ya nini,kama mnataka kumuenzi fanyeni kitu cha kueleweka mkazibue mifereji michafu na kusafisha mazingira,faida ya kutembea ni nini?

Naona CHADEMA(Kupitia Mnyika na Mdee) wanaanza kuiga upuuzi uleule wa CCM,maandamano ya nini tena?,ifikie wakati tuwe twamuenzi Mwalimu kwa vitendo(namaanisha kufanya shughuli za kujitolea kama alivyopendekeza Koba hapo juu) badala ya maandamano ambayo baadaye huisha kwa Hotuba zinazoambatana na Porojo kibaaaaaaaaaaaaaao..Ni kwa nini muda huo wa maandamano usitumike kwa shughuli za kujitolea kama kuzibua mifereje,kusafisha maeneo kama Hospitali,kusafisha mazingira(maeneo ya bahari na amengineyo) n.k.Tubadilike Watanzania
 
wanaopinga maandamano hawana hoja...Maandamano ni uamsho wa mshikamano...Nakumbuka hata Mwalimu Nyerere alifanya matembezi kutoka Butiama kuunga mkono Azimio la Arusha...Big JJ, Big Mnyika...lakini lazima mseme mafisadi hawaruhusiwi...ongeza hilo neno kwenye tangazo kaka
 
Samahani sana wakuu labda waandae majuu kwaa yalio huru na kuongea kwa uhuru mkubwa sana katika kuleta hamasa kubwa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Amani
 
Walewaleeeeeeeeeeee, mambo yale yaleeeeeeeeeee, kusifia waliofeliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.upuuzi mtupu

Nothing new can come out of your head Tumain...We kAZI YAKO NI KASHFA TU, TUMEKUJULIA... YOU DONT FEEL good if you dont make people sick here. sijui una matatizo gani!Nyerere was and is still a mentor, au unamfananisha na nani hapa Tanzania?Stop your baseless coments here, and hate me now!
 
I don't care if feel sick, Nyerere was a big failure in the history of our country..we are paying a lot. miaka ya 24 ya KIIMLA na UJAMAA ...stop this nonsense. wasije haribu watoto wetu na upuuzi huu..
 
cAN YOU ANSWER ME PLS...Who do you think would do better by then? And why wasnt he choosen? Be fairby answering that...
 
Back
Top Bottom