MTANZANIA620
Member
- Jun 20, 2023
- 34
- 30
Mbunge wa jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Kimei ambaye ni mkurugenzi mtendaji mstaafu wa benki ya CRDB aliyeipa benki hiyo mafanikio makubwa sana amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kulipa jimbo analoliwakilisha miradi lukuki ya maendeleo kuliko wakati mwingine wowote.
Dkt Kimei amesema Rais Samia ameonesha umahiri mkubwa katika kutafuta, kupanga na kusimamia fedha za maendeleo kwa kuzingatia vipaumbele vinavyowagusa wananchi walio wengi moja kwa moja.
Akiitaja miradi hiyo Dkt Kimei amesema;
1. Ujenzi wa shule mpya ya sekondari Njiapanda kata ya Njiapanda shilingi takribani milioni 700
2. Mradi Mkubwa wa maji wa shilingi bilioni 2.3 kutoka chemchem ya Miwaleni kwenda kata ya Njiapanda ambao umekamilika na unatoa huduma
3. Ujenzi wa zahanati ya Kilototoni kata ya Njiapanda ambayo imekamilika na inatoa huduma
4. Ukamilishaji na ukarabati wa zahanati za Mabungo, Leghomulo, Matala, Kochakindo na Kisao kila moja milioni 50 isipokuwa Kisao.
5. Ujenzi na upanuzi wa vituo vya afya Marangu Hedikota, Kirua Vunjo na Kahe kila moja shilingi milioni 500
6. Mradi mkubwa wa maji wa vijiji 11 vya kata za Marangu Magharibi (Vijiji 7) na Marangu Mashariki (vijiji 4)
7. Ukarabati wa shule 26 za msingi kupitia shirika rafiki la Help Up toka nchini Israel kwa wastani wa shilingi milioni 25-30 kwa kila shule. Baadhi ya shule hizo ni Himo, Korona, Makuyuni, Saghana, Matala, Maweni, Lyasongoro, Ashira, Kiterini, Kimbogho, Samanga, Ghona, Mabiranga, Dr Shein, Njiapanda nk
8. Ujenzi wa madarasa shule za msingi Mulo (madarasa 7), Msufini (madarasa 6), Mrumeni (Madarasa 3) nk
9. Ujenzi wa shule ya msingi mpya kata ya Njiapanda inayojengwa eneo la Muungano sekondari
10. Ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami Kilema-Mandaka, Himo-Sokoni na Lyamwombi kwenda Lombeta
11. Mradi wa maji kata ya Mwika Kaskazini shilingi bilioni 1.7 na Mwika Kusini shilingi milioni 860
12. Mradi wa umeme wa REA kwenye visima vya maji kama vile Ghona, Soko na Kyomu walimzawadia kata ya Kahe Mashariki pamoja na Kisangesangeni, Mawala, Mikocheni kata ya Kahe
13. Mradi wa umeme wa REA Masia (Yamu), Mawala (Kahe), Mawanda nk
Ama kweli CCM, Kimei na Samia tuwape
maua yao wanafanya kazi nzuri sana, wanastahili kuendelea kuwaamini na kuwasemea ili waendee kuungwa mkono
#KimeiSalutiKwako #SamiaSalutiKwako