Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,992
- 218,926
Akizungumza kwenye Ibada ya Mazishi ya Mwanzilishi wa Shirika la ndege la Precision Shirima , Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ameiomba Serikali ya Tanzania kutambua Mchango wa Mzee huyo katika maendeleo ya Taifa
Mbowe amesema serikali inaweza kumpa nishani au Tuzo yoyote ya Heshima ya ngazi ya kitaifa mzee huyo , ili iwe motivation kwa watu wengine kutokana na mambo mengi mazuri na ya maendeleo yaliyofanywa na Hayati Shirima katika enzi ya Uhai wake .
Freeman Mbowe akiaga mwili wa Michael Ngaleku Shirima katika kanisa la mtakatifu Pius x, lililopo Tarakea Wilaya ya Rombo
Mbowe amesema serikali inaweza kumpa nishani au Tuzo yoyote ya Heshima ya ngazi ya kitaifa mzee huyo , ili iwe motivation kwa watu wengine kutokana na mambo mengi mazuri na ya maendeleo yaliyofanywa na Hayati Shirima katika enzi ya Uhai wake .
Toa Maoni yako .