Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutumbuliwa DC na DED wa Mtwara Vijijini ni sawa na mauaji ya Demokrasia na Utawala Bora (murder of democracy and good governance) 1. Mama alijuaje huku juu? Fitna au kitu gani? 2. DC japokuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kufuatia mabadiliko makubwa yaliyofanywa CCM na Mwenyekiti wa tano wa CCM na ambayo yanaendelea kufanywa na Mwenyekiti wa Sasa wa CCM, sioni kabisa wa kuweza kuishinda CCM iwe ni chama na mgombea...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwanza napenda kutoa shukrani za dhati kwa Mh.Waziri @wizara_elimutanzania Prof. @professoradolfmkenda , baada ya kupokea malalamiko mengi juu ya wanafunzi kuthibitishiwa na kudahiliwa bila ridhaa...
0 Reactions
1 Replies
769 Views
Mjadala ni moto sana hapa Tv Imaan Mashehe wanajadili Waraka wa TEC Shehe anahoji kama Maaskofu Katoliki ni Wazalendo mbona miongoni mwao walipokea fedha za kifisadi za escrow? Mbona MoU ya...
12 Reactions
267 Replies
16K Views
Kama ilivyo ada, kila wakati katika kila nchi kuna ajenda ama sakata linalolindima, linaweza kuwa la kisiasa, kijamii ama kiuchumi. Ikiwa sehemu ya nchi zenye Siasa za mlengo wa Kidemokrasia...
34 Reactions
86 Replies
9K Views
Msafara wa Chadema umepokelewa kwa shangwe Maswa Mashariki, kama kawaida Freeman Mbowe ameendelea kufundisha Wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya, huku akitahadharisha wananchi hao kuhusu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mpaka Sasa Kuna vyama viwili vya walimu vilivyosajiliwa na vinafanya kazi kwa mujibu wa sheria na kwa kufuata katiba zao Kila kimoja. Vyama hivyo ni CWT na CHAKUHAWATA. Mimi siyo mwumini wa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Ndugu Abdulrhamn Omar Kinana anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Hai ambao Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe atawasilisha...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Leo kupitia Email ya Kamati Bunge nimetuma maoni yangu kupinga marekebisho ya sheria ya ulinzi wa rasimali za Taifa. Ndugu wana Jamii Forums, ikumbukwe mabadaliko haya yatapelekea kupoka mamlaka...
7 Reactions
8 Replies
1K Views
Jana tuliambiwa waliokamatwa wamefikia 40, lakini Taarifa mpya inaeleza kwamba 14 miongoni mwao wamepewa kesi ya Uhujumu uchumi. --- Watu 14 wamefikishwakatika Mahakama ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau wenye AKILI KUBWA tulijua mapema sana kuwa Kitendo cha CCM kuvuruga ule MCHAKATO wa KATIBA MPYA ndani ya BUNGE la KATIBA ulikuwa wa Kukataa KATIBA MPYA. Kuthibitisha hilo 1. Magufuli...
0 Reactions
3 Replies
600 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimehoji juu ya mchakato uliotumika kwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuipatia Kampuni kuendesha shughuli za bandari ya Malindi Zanzibar Katibu wa habari na...
2 Reactions
53 Replies
7K Views
Amekiri Freeman Mbowe kuwa wapo makamanda wengi waandamizi kwa sasa hawamwelewi. Msimamo wetu ulikuwa mwema sana kabla ya hoja ya maridhiano. Kwamba bila katiba mpya hakuna uchaguzi. Hivi kweli...
3 Reactions
79 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi ndugu zangu. Kwa kweli ukisoma waraka wa TEC kwa haraka bila tafakuri, ukisikiliza hoja za wapingaji wa mkataba kwa mihemko na ukisikiliza hoja na maelezo ya serikali kwa umakini...
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Kwa hali ilivyo sasa ni kwamba, vichaka karibu vyote walivyokuwa wanajificha mafisadi vimechomwa na vinaendelea kuchomwa moto. Tunawashukuru sana wachomaji wa vichaka hivi.
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Katiba iliyopo ni ya mfumo wa chama kimoja ambacho ni CCM na ilitungwa na CCM mwaka 1977. Tanzania hatuna mfumo wa vyama vingi, bali tuna mfumo wa chama kimoja (CCM), ambamo kuna vyama vingi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Nakumbuka kipindi cha mchakato wa Katiba, Prof Issa Shivji akitoa Darsa kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa, alisema Wananchi wengi hawana Elimu ya Katiba na kusema Ukienda kuwahoji wanataka Katiba...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Ninao uwezo wa kukutajia mikoa Mathalani Kilimanjaro, Mwanza, Kagera, Geita, Arusha, Manyara, Mbeya, Mara sijui nikuongezee na mkoa wa Mtwara? Hii ni mikoa ambayo nimeizungukia Sana na kila...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wewe Jerry Silaa (Mtetezi wa DP WORLD) Kuchangia madawati machache tu unataka na jina lako liandikwe, ili iweje? Nyie ndio hata mkichangia Sadaka kubwa huko Makanisani mnataka mpaka Askofu mkuu...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom