Kuna msemo ya kiswahili usemao "kuchamba kwingi......"
Sasa hata sifa zikizidi hupelekea dhihaka.
Mwaka 2016 kitovu cha kupatwa kwa mwezi dunia nzima kilikuwa mkoani Njombe eneo la Wanging'ombe...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Fahad Rashid S Ali Marekhi aliyefika kwa mazungumzo Ikulu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Rais wa Benki ya Dunia Ajay Banga na ujumbe wake kwa mazungumzo Ikulu Zanzibar tarehe 05 Desemba 2023...
Naibu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Juma Kajivara amesema Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imetangaza zabuni na inakaribia kupata mkandarasi kwa ajili ya kujenga...
Naamini mzee wetu Lowasa hatokaa asahau mzimu wa Richmond.
Kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwa waziri mkuu mstaafu.
Alikutana na bunge lenye meno chini ya wabunge wa upinzani ambao bado walikuwa...
Bandarini kuna shida, viongozi wanashangilia meli kukaa zaidi ya siku ishirini bila kukamilisha huduma. Mamlaka inatuambia ongezeko la meli kwao ni kikwazo badala ya kuwa fursa.
Kibaya zaidi...
Nchi zetu za Kiafrika kila kitu ni changamoto sana.
Viongozi wetu wanatamani kuwa viongozi wa Umma, lakini hawataki mambo yao yoyote yajulikane na Umma, Ajabu kwa kweli.
Ndiyo maana Wakili...
Msiwalaumu sana kwani wanatetea ugali wao hakuna kitu muhimu kama kula ndio maana tunaona viongozi wengi kabla ya kuzungumza mada husika kwanza anachukua muda mwingi kusifia sijui anaupiga mwingi...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la wito kwa Chadema na ushauri wa bure, kiwatendee haki wanachama wake, ili ifikapo Octoba 2015, Watanzania waiaminie Chadema kuwa itawatendea haki Watanzania. Kitendo...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi wa Glad Chembe Munthali...
Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na...
Msaada wetu kwa Uturuki umechelewa sana, tunaanza kucheza wakati mziki umeisha!
Sisi hatutakiwi kutoa msaada wa kifedha kwa wale jamaa, bali tulitakiwa kupeleka kikosi cha uokoaji kwenda...
Baada ya JamiiForums.com kusambaza picha zinazoonesha muonekano wa Shule ya Msingi Kigulunde iliyopo Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro kutokuwa katika...
Ndiyo hivyo. Kiongozi makini na mstaarabu kamwe abadani hawezi mpa nafasi Makonda. Lakini kwa CCM hii imetokea kwa sababu Hayati Magufuli alishawazoesha siasa chafu.
Hapo katikati walijaribu...
Wadau wa JF hamjamboni nyote?
Leo nimemkumbuka mno mtani sisi wa kanda ya ziwa na pia ni kiongozi wetu nambari 2 kitaifa kwani ni kitambo sijamsikia
Nauliza yu wapi mtani wetu huyu...
"Kwakuwa ni mwanamke,Ni Muislamu na anatoka Zanzibar itakuwa rahisi kukabiliana naye."
Hayo siyo maneno yangu bali ni kauli ya kimya ya wasaka urais.
Inaonekana taasisi ya Urais ni tamu sana...
Mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla amesema hatagombea tena Urais wa JMT ameridhika na Mafanikio aliyokwishayapata
Sasa atajielekeza kwenye Ndoto nyingine
Amelihutubia Taifa kupitia Ukurasa...
Usiyempenda kaja.
---
Mkutano Mkuu maalum wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, umemchagua Loy Thomas Sabaya, kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoani humo.
Sabaya ambaye ni Baba...
Hiyo ndio hadhi ya Makonda kwa Sasa.
Ameanza kazi rasmi, na ameanza kwa kumpangia kazi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, moto ni uleule kwa Makamu wa Rais, Sasa akifika kule wilayani na mikoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.