Serikali ya Tanzania yatoa misaada ya Chakula na Dawa kwa nchi za Malawi, Msumbiji na Zimbabwe zilizokubwa na mafuriko

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
IMG-20190319-WA0004.jpg

IMG-20190319-WA0003.jpg


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi wa Glad Chembe Munthali, Balozi wa Msumbiji Mhe. Monica D.C. Mussa na Balozi Mdogo wa Zimambwe nchini Mhe. Martin Tavenyika wakagua madawa na vyakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi zao ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.

IMG-20190319-WA0002.jpg


IMG-20190319-WA0006.jpg

Askari wa Jeshi la Ulinzi wakishusha misaada ya madawa na chakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi za Malawi, Msumbiji na Zimbabwe ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.

IMG-20190319-WA0007.jpg

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akiongea na wanahabari baada ya kukabidhi misaada ya madawa na chakula kwa mabalozi wa nchi za Malawi, Msumbiji na Zimbabwe ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.

IMG-20190319-WA0008.jpg

Brigedia General Francis Mushi wa kikosi cha anga cha JWTZ akiongea na wanahabari baada ya kukabidhiwa misaada ya madawa na chakula ili kuipeleka nchi za Malawi, Msumbiji na Zimbabwe ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba

IMG-20190319-WA0009.jpg


IMG-20190319-WA0010.jpg

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi wa Glad Chembe Munthali, Balozi wa Msumbiji Mhe. Monica D.C. Mussa na Balozi Mdogo wa Zimambwe nchini Mhe. Martin Tavenyika baada ya kuwakabidhi misaada ya madawa na vyakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa kwa nchi zao ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.

IMG-20190319-WA0011.jpg

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi wa Glad Chembe Munthali, Balozi wa Msumbiji Mhe. Monica D.C. Mussa na Balozi Mdogo wa Zimambwe nchini Mhe. Martin Tavenyika wakipokea misaada ya madawa na vyakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa kwa nchi zao ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika
 
Tanzania kwa mara ya kwanza imetoa msaada wa chakula na dawa kwa wahanga wa maafa ya kimbunga nchini Msumbiji Malawi na Zimbabwe. Msaada huo uliokabidhiwa na waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi. Msaada huo ulimesafirishwa na ndege za JWTZ kwenda kwa wahitaji.

Napendekeza serikali ianzishe shirika la misaada la Tanzania chini ya wizara mambo ya nje, shirika hili liitwe Tanzanian International People Aid (TIPA).

Tanzania yatoa msaada wa chakula, dawa Malawi, Msumbiji na
 
Back
Top Bottom