Kumrudisha Makonda Katika Uongozi ni Ishara Tosha kuwa CCM Hawaziwezi Siasa za Kistaarabu Kama Wanavyojinasibu

MGOGOHALISI

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
2,075
2,764
Ndiyo hivyo. Kiongozi makini na mstaarabu kamwe abadani hawezi mpa nafasi Makonda. Lakini kwa CCM hii imetokea kwa sababu Hayati Magufuli alishawazoesha siasa chafu.

Hapo katikati walijaribu kurudi lakini hoja za siasa toka upande wa pili zinawashinda majukwaani.

Wameamua kurudisha warusha matusi ili kuvuruga nchi kama ilivyokua wakati wa mwendazake.

Ili kurudisha fadhila hawa akina Makonda ambao hawakustahili kupewa nafasi watafanya juu chini kuwafurahisha waliowateua.

Tupo tunamwangalia mama kama atafunua mdomo tena kuhubiri siasa za kistaarabu.

Rais Samia kauzika ustaarabu rasmi kwa mikono yake sasa hana wa kumlaumu
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Ukiondoa makandokando take, Konda Boy is the best on that position!.

Mimi nilianza nae hapa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Nikaja hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Alipopitia misukosuko tukasimama nae kwanza kwa kutoa wito Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... kisha tukamshauri Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Kuna watu wenye roho za kwanini tukawaambia Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Na mwisho nikapendekeza Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Hivyo mheshimiwa sana Mwenezi Paul Christian Makonda, Konda Boy is the best in that post ila asi overdo things!.

P
 
Bado hamjasema,nyuzi ya ngapi hii leo KUHUSU MAKONDA?

Mmesahau kila kitu,mmejaribu kuweka hekalu la MBOWE huko Machame alilolipata kwa ruzuku imeshindikana kum daiveti MAKONDA

MAKONDA kwa sasa ndio habari ya mjini
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Ukiondoa makandokando take, Konda Boy is the best on that position!.

Mimi nilianza nae hapa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Nikaja hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Alipopitia misukosuko tukasimama nae kwanza kwa kutoa wito Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... kisha tukamshauri Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Kuna watu wenye roho za kwanini tukawaambia Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Na mwisho nikapendekeza Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Hivyo mheshimiwa sana Mwenezi Paul Christian Makonda, Konda Boy is the best in that post ila asi overdo things!.

P
Hayo makandokando ndio yanafanya asistahili kupewa hiyo nafasi.
 
Ndiyo hivyo. Kiongozi makini na mstaarabu kamwe abadani hawezi mpa nafasi Makonda. Lakini kwa CCM hii imetokea kwa sababu Hayati Magufuli alishawazoesha siasa chafu.

Hapo katikati walijaribu kurudi lakini hoja za siasa toka upande wa pili zinawashinda majukwaani.

Wameamua kurudisha warusha matusi ili kuvuruga nchi kama ilivyokua wakati wa mwendazake.

Ili kurudisha fadhila hawa akina Makonda ambao hawakustahili kupewa nafasi watafanya juu chini kuwafurahisha waliowateua.

Tupo tunamwangalia mama kama atafunua mdomo tena kuhubiri siasa za kistaarabu.

Rais Samia kauzika ustaarabu rasmi kwa mikono yake sasa hana wa kumlaumu
Si nasikia team Jiwe ni kete ya kupatia kura hasa za kanda ya ziwa?. Na uchaguzi huoooo malangoni.
 
Ila matusi upande wa watoa taarifa uliona shega tu. Yalienea matusi hapa mpaka mengine ya kudhalilisha utu.ma kina ney yaliimba hapa uliona shega tu. Na sijaskia tusi lolote
 
Haahaaa, nimecheka eti Makonda anawaita wapinzani wafanye mikutano ya siasa, utadhani wapinzani wanafanya siasa kwa kufuata ratiba zake. Ameona asije akapoteza joto alilokuja nalo iwapo wapinzani hawatajitokeza kujibizana naye. Nimependa sana jinsi wapinzani walivyompotezea. Ni kama vile unakula Viagra kisha demu hatokei. Wapinzani wasipoteze muda kujibishana na huyo muhalifu aliyepewa jukwaa la kujisafisha.
 
Naomba msikilizeni kada wa cdm kutoka Mbutu kigamboni.

Anasema kuwa Makonda hana sifa ya kuwa kiongozi wa chama chochote cha siasa hapa nchini.

Msikilizeni sana alafu tujadili kiungwana.

IMG_20211218_014906.jpg
 
Haahaaa, nimecheka eti Makonda anawaita wapinzani wafanye mikutano ya siasa, utadhani wapinzani wanafanya siasa kwa kufuata ratiba zake. Ameona asije akapoteza joto alilokuja nalo iwapo wapinzani hawatajitokeza kujibizana naye. Nimependa sana jinsi wapinzani walivyompotezea. Ni kama vile unakula Viagra kisha demu hatokei. Wapinzani wasipoteze muda kujibishana na huyo muhalifu aliyepewa jukwaa la kujisafisha.
Hao vilaza wenye elimu ndogo watatoa wapi cha kumjibu Makonda?
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Ukiondoa makandokando take, Konda Boy is the best on that position!.

Mimi nilianza nae hapa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Nikaja hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Alipopitia misukosuko tukasimama nae kwanza kwa kutoa wito Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... kisha tukamshauri Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Kuna watu wenye roho za kwanini tukawaambia Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Na mwisho nikapendekeza Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Hivyo mheshimiwa sana Mwenezi Paul Christian Makonda, Konda Boy is the best in that post ila asi overdo things!.

P
Good 👍
 
Back
Top Bottom