Rais Dkt. Mwinyi akutana na balozi wa Qatar nchini Tanzania

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Fahad Rashid S Ali Marekhi aliyefika kwa mazungumzo Ikulu Zanzibar tarehe 05 Disemba 2023.

Katika mazungumzo yao wamegusia uhusiano uliopo kati ya Zanzibar na Qatar pamoja na fursa mbalimbali zilizopo Zanzibar ikiwemo uwekezaji, biashara, utalii,uvuvi, mafuta na gesi pamoja na huduma za kijamii hususani elimu na afya.

05 Disemba, 2023

Ikulu Zanzibar

IMG-20231205-WA0048.jpg
IMG-20231205-WA0045.jpg
IMG-20231205-WA0047.jpg
IMG-20231205-WA0046.jpg
IMG-20231205-WA0044.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom