TPA mbioni kuanza Ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay ziwa Nyasa.Wale wa DP World kuzuia ujenzi wa Bandari mpo?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,054
49,742
Naibu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Juma Kajivara amesema Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imetangaza zabuni na inakaribia kupata mkandarasi kwa ajili ya kujenga Bandari ya Mbamba Bay iliyopo Ziwa Nyasa.

Mhandisi Kajivara ameyasema hayo mkoani Mtwara alipokuwa akieleza namna TPA imejipanga kuhudumia mizigo kutoka nchi jirani kwa kutumia bandari ya Mtwara wakati ukiendelea na mkutano wa wadau wa kujadili juu ya maandalizi ya usafirishaji wa zao la korosho kupitia bandari ya Mtwara.

Ameongeza, ni matarajio kuwa mizigo kutoka nchi ya Malawi itapita bandari ya Mtwara kisha kuelekea Mbamba Bay ili kufika Malawi, akisisitiza kuwa hiyo ni njia pekee fupi ya kusafirisha mizigo kutoa Tanzania hadi Malawi.

TBC
===

My Take

Ule uzushi wa CHADEMA na Washirika wao kuhusu DP World Kumilikishwa Bandari zote na kutoruhisu ujenzi mwingine wako wapi?

CHADEMA tafuteni ajenda , uzushi hautawasaidia.

View: https://www.instagram.com/p/Cx-2zAZt0m2/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Jitahidi kutumia akili zako kidogo at least waliokusomesha wasisononeke sana
 
huko watajenga tu wakitaka lkn waambie waguse bandari ya Ziwa Tanganyika au Viktoria karibu na rwanda na kongo ndiyo watamjua mwenyewe …
 
Nyumbu ni nyumbu tuu,as we speak ujenzi unaendelea Kibirizi na Kigoma Port Sasa huyo mwenyewe vipi?
 
hiyo hawahitaji wanataka dar na bandari zinazounganisha kongo rwanda na dar …
Mumeanza kubadili gia angani kama wale wa vaccine za uviko 19 kugeuzwa watu mazombie? 😁😁

Mbona Serikali inajenga Bandari za Ziwa Tanganyika?
 
yeah hata ina/ili fanya ukarabati bandari ya dar kwa fedha za mkopo wa worldbank ambao sisi ndio tutaulipa na kumpa “mwarabu” na kp bandari bure ni pmj na hizo za ziwa tanganyika na karibu na kongo na rwanda …
 
Sasa upotoshaji wa sijui tumekatazwa Kuendeleza Bandari zote mliotoa wapi?
 
..Dpw watakuwa wameamua kuja kivingine baada ya michezo yao ya awali kugundulika.
Naibu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Juma Kajivara amesema Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imetangaza zabuni na inakaribia kupata mkandarasi kwa ajili ya kujenga Bandari ya Mbamba Bay iliyopo Ziwa Nyasa.

Mhandisi Kajivara ameyasema hayo mkoani Mtwara alipokuwa akieleza namna TPA imejipanga kuhudumia mizigo kutoka nchi jirani kwa kutumia bandari ya Mtwara wakati ukiendelea na mkutano wa wadau wa kujadili juu ya maandalizi ya usafirishaji wa zao la korosho kupitia bandari ya Mtwara.

Ameongeza, ni matarajio kuwa mizigo kutoka nchi ya Malawi itapita bandari ya Mtwara kisha kuelekea Mbamba Bay ili kufika Malawi, akisisitiza kuwa hiyo ni njia pekee fupi ya kusafirisha mizigo kutoa Tanzania hadi Malawi.

TBC
===

My Take

Ule uzushi wa CHADEMA na Washirika wao kuhusu DP World Kumilikishwa Bandari zote na kutoruhisu ujenzi mwingine wako wapi?

CHADEMA tafuteni ajenda , uzushi hautawasaidia.

View: https://www.instagram.com/p/Cx-2zAZt0m2/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

Kazi imeanza,Aibu Yao Machadema 😂😂

View: https://www.instagram.com/p/C0dpethoOHW/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Back
Top Bottom