Chawa wa mama: Namshukuru mama Samia kwa tope la Hanang

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Kuna msemo ya kiswahili usemao "kuchamba kwingi......"
Sasa hata sifa zikizidi hupelekea dhihaka.

Mwaka 2016 kitovu cha kupatwa kwa mwezi dunia nzima kilikuwa mkoani Njombe eneo la Wanging'ombe. Wageni mbalimbali toka pande zote za dunia walikwenda Njombe ili kuona tukio la kupatwa kwa jua na kuchukua picha zake.

Mwananchi mmoja aliposogezewa microphone na media alisikika akimshukuru sana rais Magufuli kwa tukio lile. Watu wakabakia midomo wazi kwa mshangao.

Leo huko Hanang mwancnhi mmoja baada ya kupokea msaada wa godoro amesikika akimshukuru mama Samia kwa tope lililotokea nakupelekea watu/makampuni/serikali kutoa misaada mbalimbali huko.

N.B . Siyo kila sifa ni sifa.
 
CCM wanatawala mijitu mbumbumbu sana. Kwa akili hizi, CCM wataendelea kutawala hadi Yesu arudi. Mitanzania mingi haina uelewa wa mambo na haiwezi kuhusianisha ugumu wa maisha wanayoishi na utawala msonge wa CCM. Mungu awahurumie.
 
Kuna msemo ya kiswahili usemao "kuchamba kwingi......"
Sasa hata sifa zikizidi hupelekea dhihaka.

Mwaka 2016 kitovu cha kupatwa kwa mwezi dunia nzima kilikuwa mkoani Njombe eneo la Wanging'ombe. Wageni mbalimbali toka pande zote za dunia walikwenda Njombe ili kuona tukio la kupatwa kwa jua na kuchukua picha zake.

Mwananchi mmoja aliposogezewa microphone na media alisikika akimshukuru sana rais Magufuli kwa tukio lile. Watu wakabakia midomo wazi kwa mshangao.

Leo huko Hanang mwancnhi mmoja baada ya kupokea msaada wa godoro amesikika akimshukuru mama Samia kwa tope lililotokea nakupelekea watu/makampuni/serikali kutoa misaada mbalimbali huko.

N.B . Siyo kila sifa ni sifa.
99.99999999999999999999999999999999999999% ya watanzania ni matope kichwani ya Hanang
 
CCM wanatawala mijitu mbumbumbu sana. Kwa akili hizi, CCM wataendeleakutawala hadi Yesu arudi. Mitanzania mingi haina uelewa wa mambo na haiwezi kuhusianisha ugumu wa maisha wanayoishi na utawala msonge wa CCM. Mungu awahurumie.
Tatizo siyo CCM wala chama chochote, tunahitaji wananchi wenye uelewa, yaani matajiri wa fikra.
Wananchi wengi wakiwa wenye akili nzuri, utawala utakuwa mzuri, umasikini utapungua kama siyo kuondoka baada ya muda na Tanzania itakuwa mahali pazuri pa kuishi.
Changamoto kubwa ni kwamba ujinga, upumbavu au kujitoa ufahamu inaelekea kuwa msingi wa siasa na hasa katika kutafuta kuchaguliwa au teuzi.
Tunatakiwa kujenga utamaduni wa kuona kwamba matumizi ya akili vizuri, kutenda na kuongea vitu venye mantiki na weledi ndiyo sifa ya msingi ya kuchaguliwa au kuteuliwa. Hivyo ndivyo tutakakavyojenga jamii na taifa imara.
 
Back
Top Bottom