Hakina mambo yamebadilika. Kutokana na kutokuwa na Ajira kundi kubwa la vijana hasa Wasomi wamewaza sana na kufikia Uamuzi kuwa wawe machawa.
Uchawa ni hali ya kujitoa ufahamu Aibu Haya Hasira...
Nimekuja Mbeya, kuna baadhi ya vituo vya mafuta wanasema hawana mafuta ya petrol. Hali hii sio mara ya kwanza kwa mwaka huu hapa nchini.
Je, kuna uwezekano wa kuwa ni ule muendelezo wa...
Huyu Mtu hana sababu yoyote ya nafasi muhimu kitaifa kama hii. Siyo kwamba tunamchukia, lakini Hata wewe mh. Rais unatambua kwamba njia aliyopitia kuwa boss wa NHC ni hiyo hiyo aliyotumia wewe...
Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa Serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria...
CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi.
Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku...
Lengai alimdhibiti Mbowe kisiasa kule Hai.
WanaChadema walichukia sana . Ndio maana hata alipokuwa na kesi za mizengwe walifurahi sana.
Hii nayo imewapa mashaka.
👇
Hapa ni kati ya BAHI na KINTINKU, kwenye daraja la SGR hali ndio ilivyo ni kero kwa watumiaji wa njia hiyo.
Kuna mashimo na madimbwi makubwa ambayo ni hatarishi.
Majanga ya kiasili yanatajwa ni miongoni mwa matukio ambayo ni vigumu sana kujikinga nayo kwa 100%, kwa sababu mengi hutokea katika scale kubwa na hivyo kuwanyima watu sehemu ya kukimbilia.
Hata...
Viongozi wengi kama sio wote wa Dunia watashiriki Mkutano huo wa COP28.
========
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini kwenda Dubai kushiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Kitila Mkumbo amewataka mabalozi wa mashina kujiandaa na uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika mwaka 2024...
Waziri wa nishati January Makamba amesema kama wizara wamejipanga na katika siku mbili zijazo atatoa Suluhisho la kudumu la matatizo ya umeme nchini
Makamba amesema wamejipanga vya kutosha na...
Rafiki yangu mmoja, kada wa CCM na aliyekuwa kiongozi wa jumuiya ya wazazi, naikumbuka sana kauli yake, hasa nikisikia pesa za serikali zimetafunwa.
Wakati mmoja tuliamua kuanzisha kampuni...
Mwaka 1996 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya CCM.
2011 meli...
Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 06/12/2023 imehitimisha ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi...
Sisi wananchi wa nchi hii tunawataka, mamlaka ya Udhibiti usafiri wa Ardhi (LATRA) wasitishe mara moja, tangazo lao la kupandisha nauli, ambalo wao walisema zitaanza rasmi kesho kutwa, terehe 8...
Yaani ukiwa kiongozi Tanzania unatawala vile unavyotaka wewe Watanzania unawafanya unavyotaka na hakuna chochote kitakachotokea.
Mfano kwenye umeme zamani umeme ukikatika inakua ajabu na watu...
Walikuwepo akina Mtemvu, Fundikila, Kasela Bantu, Kasanga Tumbo nk lakini hatimaye walinaswa na mtego wa Chama Dola.
Lakini huyu Kijana Tundu Antipas Lissu Mungu wa Mbinguni amempa Karama ya...
Wanajamvi,
Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango alikuwa awe mgeni rasmi wa mkutano wa TAWIRI unaofanyika Dodoma, hata hivyo amewakilishwa na Angella Kairuki...
Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha MWATEX amewachana viongozi wa Tanesco mbele ya mkuu wa mkoa wa Mwanza bwana Amos Makala kwa kukisababishia hasara ya millioni 100 kwa siku kiwanda hicho kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.