nikiwa kiraia zaidi, nimejumuika na wananzengo vijiwe vya kahawa, kashata, kachori na pweza. Stori na hadithi nyingi zimetekwa na jina la Rais, Dr Samia Suluhu Hassan.
Kwamba huyu mama ni hodari...
Wanabodi,
Usipuuze maneno ya mlevi apitaye njia. Msikilize na kufuatilia ayasemayo baadaye. Kuna mtu nchi hii anatumia mwamvuli ya uanahabari (cover paper) akiitwa Bollen Ngetti.
Nimemfuatilia...
Mnyonge mnyongeni ila sifa yake muachieni.
Sisi waswahilli tunatumia msemo huu kumsemea asiyependa kujikweza.
Kabla ya kuingia katika madaraka ya Urais mhe.Samia Suluhu Hassan amekuwa ni muumini...
Watanzania,
SALAAM!
Hivi sasa kwa tathmini ya haraka ufuatiliaji wa mijadala ya Bunge kwa wananchi wa kawaida umepungua kwa takriban asilimia 30.
Kwamba kwa kila watu wazima 10 ni watu 7 tu...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu leo amekutana na Wananchi Katika Vijiwe Vya Tabata Mwananchi, Kimanga, Umoja na Buguruni kwa Mnyamani
Baada ya Kubadilishana Mawazo na Wananchi...
Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo.
Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake...
Kwenye Ukurasa wake wa Face Book wa Veronica France amepost ujumbe wa Kuomba Msamaha kwa Maneno ya kuudhi aliwahi kuyatamaka kwa Askofu na Viongozi wa Chadema Mbowe na Lusu
Akionyesha kuwa...
Chama cha walimu Tanzania kinaazimisha miaka 30 ya kuanzishwa kwake kwa ajili ya kujitathimini na kutafakari kwa safari yenye milima na mabonde kuanzia November 1993 mpaka Leo 2023 November...
i) Mapato yatokanayo na vitega uchumi vya chama mfano: Mwalimu house na ofisi za CWT kila mkoa (rent), je vinamnufaishaje mwalimu ambaye ni mchangiaji mkuu?
ii) Kwanini C.W.T wanakusanya michango...
BASHUNGWA AMVAA MKANDARASI WA STENDI YA KATESH - HANANG
OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa hajaridhishwa na kasi ya...
Spika wa bunge Dkt. Tulia PhD amewataka Wananchi kuwaombea Viongozi Wao kila wakati Ili waweze kutenda Sawasawa na Matarajio yao( Wananchi)
Hata Ikitokea tumewakwaza msiache kutuombea Ili neema...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan baada ya kuungana na viongozi zaidi ya 160 duniani katika mji wa Dubai kwenye mkutano wa kujadili jinsi ya kukumbana na mabadiliko...
Jukwaa la Wakurugenzi Wakuu wa sekta binafsi Tanzania yaani CEOs RoundTable wamempa Jakaya Kikwete Rais mtaafu wa awamu ya 4 Tuzo ya Utumishi Uliotukuka na kutambua mchango wake kukuza sekta...
Mama Samia akitoka Dubai kuna taarifa ya yeye kutua moja kwa moja Mwanza kisha kuelekea Tanesco Nyakato Mwanza.
Hii inafuatia kutokupata majibu anayoyataka kwa miezi kadhaa sasa.
Ikumbukwe kuwa...
Chongolo amewataka wasomi wa vyuo vikuu kwenda veta ili wakapate uwezo wa kujiajiri.
Kauli hii inatoa tafsiri hasi nyingi sana dhidi ya wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vikuu vyenyewe.
Mosi, inatoa...
Kwema wakuu?
Kwa Hali ilivyo usalama barabarani nyakati za usiku ni mdogo madereva hawazingatii Sheria barabarani wakati wa usiku maana hamna Oolisi. Malori nayo ndio mida yao ya kukimbia so...
Walimu Wana maswali mengi ambayo kwa muda Mrefu CWT wakiongozwa na Kiongozi wao Japhet Maganga hawataki kujibu na wala hawaoneshi jitihaza zozote kutetea haki za walimu:
i) Mapato yatokanayo na...
Kutoka Ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam
Ni (TISTA) "TANZANIA ISLAMIC STUDIES TEACHING ASSOCIATION"
Taarifa kwa hisani ya Dr Harithi Nkussa
(Mwandishi maalumu wa Mufti)
Hatimaye Uzinduzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.