Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeona kwenye makala hapa BBC kwamba kwenye Bomba la Mafuta la Uganda hadi Tanga Sisi Tanzania tuna 15% Sawa na Uganda Hongera Kwake Prof Kabudi RIP Shujaa Magufuli
7 Reactions
119 Replies
6K Views
Hujambo ndugu? Nimetafakari kwa kina uamuzi wa serikali kuziweka shule za umma chini ya usimamizi wa TAMISEMI hususan miundombinu yao ninaona ni uamuzi unaohitaji kupitiwa upya. Tawala za Mikoa...
1 Reactions
1 Replies
439 Views
Wakuu tujenge hoja, Hivi bunge la Tanganyika linaisimamia Serikali na kutetea wananchi au lenyewe lipo kwa ajili ya kuiunga mkono serikali? Maana kama vile bunge limegeuka na kuwa wapembe wa...
1 Reactions
84 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa...
8 Reactions
107 Replies
10K Views
Ukiona yafuatayo yanakuandama jitafakari: 1. Kutumwa tumwa na hata uliowazidi umri, 2. Kuombwa kuchinja, kukata kuni, kuosha magari, kutafuta ng'ombe/mbuzi wa kitoweo, n.k 3. Kutoshirikishwa...
1 Reactions
4 Replies
755 Views
SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu imechukua hatua za haraka kwa wahanga wa maafa yaliyosababishwa na maporomoko ya tope yaliyotokea tarehe 03 Disemba, 2023 ambapo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua zoezi la ugawaji wa Vitambulisho Taifa (NIDA), leo Desemba 5, 2023 ambapo uzinduzi umefanyika katika Kata ya Kyimo, Tarafa ya Ukukwe. DC Haniu...
1 Reactions
4 Replies
720 Views
WanaJF, Wakati tunaendelea kumshukuru Mh. Rais wetu, Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wa Bi. Titi Mohamed najua tuna viongozi wengi ambao sisi vijana wa miaka ya 1990s au kabla hatuwajui...
3 Reactions
62 Replies
4K Views
Ukipata nafasi ya kuishauri serikali kuhusu jambo hili upi utakuwa ushauri wako
0 Reactions
1 Replies
515 Views
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema Vijana waache biashara ya kuuza figo zao kwani wanaweza kupata madhara makubwa baadaye. Mungu mbariki Dkt. Mpango Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀 --- Makamu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa...
17 Reactions
112 Replies
10K Views
Askofu Prof Gamanywa wa BCIC amesema mwaka 2017 alifanya Utafiti kuhusu kauli ya " Kila aibarikiye Israel atabarikiwa na ailaaniye atalaaniwa" na akagundua Kauli Hiyo inaishi kiuhalisia Askofu...
13 Reactions
78 Replies
5K Views
Ni kipindi kigumu kwa kila Mtanzania kwa kilichotokea kwa ndugu zetu wa Hanang, Watanzania tumeungana kuwaombea ndugu zetu waliotangulia mbele za haki na tunaendelea kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu...
1 Reactions
13 Replies
711 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na Uongozi wa bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) ukiongozwa na...
1 Reactions
6 Replies
817 Views
KAMATI YA SIASA MKOA WA SIMIYU IMEENDELEA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WILAYA YA BARIADI, HALMASHAURI YA BARIADI TC Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
● Tarehe ya maadhimisho ya Siku ya Mwalimu duniani ni tarehe 05 Oktoba, ambapo duniani kote iliadhimishwa na Chama cha Walimu Tanzania ikiwa ni sehemu ya Wataalam na wasomi kufanya maadhimisho...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (WN-OR TAMISEMI) Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa (MB) 'Mtu Kazi' atakuwa mgeni rasmi katika uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji...
0 Reactions
0 Replies
459 Views
Kwasababu gani nimesema inatuona kuku wa mgeni kuku wa mgeni yani inatufananisha akili zetu na kuku wa mgeni mfano kuku kama sio wa mgeni ukianika mpunga au mahindi akija kula unamfukuza kama sio...
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa chama cha kwanza cha siasa Nchini Tanzania kutuma rambirambi zilizoambatana na salamu za pole kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea huko Hanang...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Tuliona danadana mahakamani siku siyo nyingi mara tukaambiwa ameshinda kesi. Wakati tunatafakari mara paap mzazi wa mtuhumiwa ni Mwenyekiti wa chama mkoa. Funzo kubwa tunalopata hapa nikuwatesa...
9 Reactions
49 Replies
3K Views
Back
Top Bottom