Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Naamini mzee wetu Lowasa hatokaa asahau mzimu wa Richmond.
Kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwa waziri mkuu mstaafu.
Alikutana na bunge lenye meno chini ya wabunge wa upinzani ambao bado walikuwa hawajabinafsishwa na ccm.
Mzee wetu aliongea sana hadi akafikia kutoa machozi kwa uchungu wa kukimbiwa na washirika wenzake kwenye huo mchongo wa upigaji.