Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi jamii forum ni ukurasa wa watu gani? Hivi Rais au Waziri mkuu na mawaziri wake wanatake time kutembelea ukurasa huu? Au wanadhani ukurasa huu ni wa wapiga kelele na upinzani? Hivi hawajui kua...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Niliingia mahabusu moja nikalala usiku mmoja ,sikuamini kama nipo Tanzania ,watu wanahojiwa kwa kupigwa na vyuma na wanavunjwa mifupa ,mtu analetwa akiwa mzima na anatoka akiwa mlemavu! Jeshi la...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Hili nalisema kiimani Zaidi kwa Sababu Maombi siyo swala la Siasa au mizaha Pale Anglikana kwa mfano kila Jumapili Litugia yao ina Vifungu Vya Maombezi na Moja ya kifungu hicho ni kumuombea Rais...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Katika kero ukiachana na tanesco basi hi hawa Nida, asilima kubwa wananchi hawana vitambulisho wala namba Na sijajua mkurugenzi wa nida ni nani na sijawahi sikia katumbuliwa au kutenguliwa hii...
1 Reactions
2 Replies
554 Views
Rais na umati mkubwa wa Watanzania wenzetu wako Dubai kwa raha zao na kwa matumizi makubwa ya pesa za umma. Je, pesa za safari ya umati wote huo imetoka wapi? Sasa kuna magari ya kifahari...
11 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita ameendelea kuonyesha namna Dunia inavyotambua mchango...
14 Reactions
164 Replies
7K Views
Tukio hili la kusikitisha la Hanang linanikumbusha maporomoko kama haya yaliyotokea Uganda miaka kadhaa iliyopita , watu walizikwa na udongo , huku vifaa vya uokozi vikiwa Machepeo na Sululu ...
14 Reactions
60 Replies
5K Views
Anajulikana kama mpenda watu na yeye watu wanampenda. Ndivyo tunavyoaminishwa. Kutokana na janga la kiasili lililowatokea wenzetu nilitarajia kuona ule uwezo wanaosema Katibu MMwenezi wa NEC anao...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Spika Dr Tulia amesema CCM kuna nafasi nyingi unaweza kukosa kwenye kuchaguliwa lakini ukaja Kuteuliwa Msinuniane Uongozi ni kuachiana kijiti Dr Tulia amesema hayo wakati akimpongeza Mwenyekiti...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Kongamano la AfCTA la Wanawake katika Biashara 2033.
1 Reactions
4 Replies
632 Views
Watu wengi hawalielewi na walimshangaa sana Magufuli alivyokuwa akitekeleza Ilani ya CHADEMA na ile ya ACT Wazalendo badala ya CCM. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge na Madiwani...
1 Reactions
5 Replies
475 Views
Haraka haraka twendeni kwenye hoja, LATRA wamepandisha bei za mabasi kwa wastani wa TZS 15 kwa Kila kilometa hasa kwa safari za Mikoani, Mfano kutoka Dar es Salaam mpaka Bukoba ni sawa na...
17 Reactions
259 Replies
21K Views
Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu. Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Ni Ukweli usiopingika CCM inapochagua Viongozi wake wa NGAZI zote utaona imezingatia DEMOKRASIA ya hali ya Juu.Unapokuja kwenye Ngazi ya UENYEKITI TAIFA Demokrasia inapotea kwani INATOLEWA FOMU...
3 Reactions
5 Replies
751 Views
Tanzania imetia saini mkataba wa moja ya miradi mikubwa ya mikopo ya kaboni inayotokana na ardhi Afrika Mashariki. Mradi huu unahusisha mbuga sita za kitaifa, zenye ukubwa wa hekta milioni 1.8...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Imekuwa ni Imani ya iuda mrefu kwamba Ngome ya CHADEMA ni Kanda ya Kaskazini, Ngome ya CUF ni Pemba na Ngome ya ACT Wazalendo Ujiji, Kigoma, lakini siyo rahisi kuwaona CHADEMA wakishiriki kwenye...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais samia Anaendelea kuchanja mbuga ulimwenguni kote ambako Dunia inaendelea kutambua mchango wake katika maendeleo na mchango wake katika kile Secta Katika kuleta...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Akizungumza kwa Ukakamavu huko Segerea , Mkoani D'Salaam , Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Amedai kwamba. Ni vema Wananchi wakajiepusha na Ukuwadi wa Rasilimali za Nchi ...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Ni wajibu wetu kama taifa kusaidia ndugu zetu Palestina katika hali ya huzuni waliyonayo kama tulivyofanya Malawi hata Zimbabwe. Na karibuni Uturuki. Tumeona wanachama wa Arab league wamepeleka...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za Mafuta ya Petroli zitakazotumika kuanzia Desemba 6, 2023 ambapo Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,158, Tanga Tsh...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom