Hadhi ya Makonda kwa Sasa ni sawa na Makamu wa Rais au Kaimu Rais, ana haki ya kumpa maelekezo mtu yeyote yule, hata Philip Mpango

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,662
Hiyo ndio hadhi ya Makonda kwa Sasa.

Ameanza kazi rasmi, na ameanza kwa kumpangia kazi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, moto ni uleule kwa Makamu wa Rais, Sasa akifika kule wilayani na mikoani, wakuu wa huko wajipange.

OCD na RPC, msiache kutembea na pingu, amri yoyote inaweza kutolewa.

Chongolo, endelea kukaa Chocho, you are a ceremonial Secretary General.
PM, una miezi sita tu kabla Makonda hajaandika memo kwa SSH.
 
Mhhh! Msimjaze ujinga kijana wa watu japo za chini nasikia jamaa anasoma Pd ujeruman.
 
Shida ni kwamba unaenda kwa hisia mkuu
Naona makonda anaongea kwa mamlaka ila kwa ngazi ya chama
Hakuna malalamiko ndani ya chama kupeleka sehemu husika

Wameamua wenyewe kutafuta ugali kupitia chama chao, hawawezi kulalamika kama katiba yao inawataka wafanye hivyo

Polisi hawawezi tia mkono wao kwenye mambo ya chama
over!
 
Hiyo ndio hadhi ya Makonda kwa Sasa.

Ameanza kazi rasmi, na ameanza kwa kumpangia kazi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, moto ni uleule kwa Makamu wa Rais, Sasa akifika kule wilayani na mikoani, wakuu wa huko wajipange.

OCD na RPC, msiache kutembea na pingu, amri yoyote inaweza kutolewa.

Chongolo, endelea kukaa Chocho, you are a ceremonial Secretary General.
PM, una miezi sita tu kabla Makonda hajaandika memo kwa SSH.
Amri yake inaogopwa kuliko ya wanaotembea na ngao kwenye gari.
 
Hiyo ndio hadhi ya Makonda kwa Sasa.

Ameanza kazi rasmi, na ameanza kwa kumpangia kazi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, moto ni uleule kwa Makamu wa Rais, Sasa akifika kule wilayani na mikoani, wakuu wa huko wajipange.

OCD na RPC, msiache kutembea na pingu, amri yoyote inaweza kutolewa.

Chongolo, endelea kukaa Chocho, you are a ceremonial Secretary General.
PM, una miezi sita tu kabla Makonda hajaandika memo kwa SSH.
Makonda anaweza kumpangia hata MUNGU
 
Chongolo kishabutuliwa na M.A.F.I.A "last born" kuna mwengine hajielewi tu kwamba ndio anafuata.
 
Hiyo ndio hadhi ya Makonda kwa Sasa.

Ameanza kazi rasmi, na ameanza kwa kumpangia kazi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, moto ni uleule kwa Makamu wa Rais, Sasa akifika kule wilayani na mikoani, wakuu wa huko wajipange.

OCD na RPC, msiache kutembea na pingu, amri yoyote inaweza kutolewa.

Chongolo, endelea kukaa Chocho, you are a ceremonial Secretary General.
PM, una miezi sita tu kabla Makonda hajaandika memo kwa SSH.
Makonda atawachezea hao wajinga wenzie wasiojitambua lakini hathubutu kuingia anga za wasomi kama Mpango au Adam Malima!
Wadanganyika, tatizo lenu ni kusahau. Mnakumbuka enzi ya Magufuli wakati Makonda alitaka kuingiza makontena bila kulipa ushuru akidai ni vifaa vya shule kumbe uongo!! Mpango wakati huo alikuwa waziri wa fedha ; alimgomea katakata kuingiza yale makontena bila kulipa ushuru na alimpa ultimatum Magufuli kuwa kama Makonda asingelipa ushuru wa yale makontena angejiuzuru uwaziri wa fedha!! Ilibidi alipie ushuru yale makontena. Huyo ndio Mpango kwa wale wasiomjua.
 
Mpango yupo wapi mkuu. maana ana miezi kadhaa hajaonekana kabisa
 
Samia anatakiwa kulitolea tamko alıko Philip Mpango! Kukaa kimya kunazusha tetesi potofu!
Kuwa anaumwa tunajua kwani tulikwisha muona na mtungi wa oxygen huko nyuma na athari za covid kwa ubongo wa walioathirika na maradhi yale zinafahamika; hata hivyo semeni alıko.
Isije ikawa kama Magufuli mkatuambia yuko kazini kumbe alikuwa kisha kata moto!
 
Back
Top Bottom