Hivi karibuni mamlaka ya mawasiliano ya Afrika ya kusini imetoa kauli ya kuzuia uingizwaji wa vifaa vya starLink.
Baada ya Afrika ya kusini Mamlaka ya mawasiliano ya Ghana nayo imepiga marufuku...
Makamu mwenyekiti wa CCM ameeleza kwamba makada wa chama cha mapinduzi wasidhalilishe watendaji wa serikali hiyo inamaana kuwa kitendo anachofanya Paul makonda nikinyime na taratibu katika...
Maxence Melo Mkurugenzi wa Jamii Forums amesema Uvujishaji wa Taarifa uko zaidi Nje ya Mitandao kwa mfano Makaratasi ya Matokeo ya Mitihani Kufungia Maandazi na Chapati.
Mungu wa Mbinguni Ibariki...
Jf stori hii ni kwaufupi sana,
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Hayati Rais Magufuli ilimbidi kutafuta mtu loyal kwake atakayeweza kufumba macho, roho na masikio ili kuchapisha...
Hakika wonders shall never end.
Nchi ina watu wanafiki wa kiwango cha lami, hivi huyu Kinana amekwenda kufanya nini hapo kama siyo unafiki?
---
Leo tarehe 12 Disemba 2023, Makamu Mwenyekiti wa...
Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Bukombe na Waziri wa Nishati amemshukuru Makamu Mwenyekiti wa CCM Komredi Kinana kuwatembelea Kanda ya Ziwa Victoria
Aidha amemshukuru kwa...
Mawaziri na Manaibu kila wanapopita jambo dogo tu nitapendekeza utumbuliwe; wakuu wa mikoa nao kila wanapokwenda wanawaza kuweka watu ndani na kuwatumbua.
Ipo wapi team work tuliyofundishana...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi, leo ameongoza Kampeni Kabambe ya Kusajili wanachama wapya kwa njia ya kisasa ya Mtandao (Chadema digital)
Umati Mkubwa uliojitokeza unaonyesha...
Nitasema kweli daima,fitina kwangu mwiko. Na nitajielimisha kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu hiyo kwa manufaa yangu na wenzangu.
Hizi ni tu ya ahadi za kila mwana ccm mwenye kufuata...
Nashauri tu haya mambo ya CV yasipelekee kuwepo chaguzi ndogo maana huko Namanyele Nkasi watu wamechachamaa sana Eti Mbunge wao ni Vyeti Feki
Haya mambo ya kuchafuana kisiasa Siyo mazuri, Heshima...
Wakati wa Utawala wa Awamu ya 5 Rais Magufuli aliamua kufuatilia ELIMU za Watendaji wa Serikali yake katika baadhi ya Maeneo hasa Waajiriwa wa Serikali za Mitaa na Serikali Kuu katika ngazi za...
Wajumbe, hali ya siasa kwa Mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye inazidi kuwa mbaya kuelekea 2025 baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kuafikiana kuwa kijana huyo hawezi tena kuwa chaguo lao na badala...
Tulikuwa na Dar ya Mhaville, Dar ya Chipungahelo, Dar ya Makamba, Dar ya Kandoro, Dar ya Lukuvi, Dar ya Sadik na hatimaye Dar ya Makonda zote zimepita na maisha yanaendelea.
Kwa sasa tunashuhudia...
Ero sobhai.
Takwenya kokoo wote humu?
Mwangaruka wabhabha na mamayo
Enewei kama salaam haijawachangamsha haya changamkeni na hii.
Serikali ya Tanzania imefunga ndoa isiyo ya kawaida na Chama...
Wiki Tatu zilizopita Mwenezi wa CCM Paulo Makonda alikuwa kanda ya ziwa katika ziara aliyosema anakwenda kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM na kupeleka maagizo ya Chama Kwa Watendaji wa serikali...
Hivi hii ni makusudi au ninini, au kuna mbinu ya kumkomoa Mh Rais kimya kimya baada ya kujua sio mfuatiliaji wa maswala kama hayo?
Hilo ongezeko la kiwango hicho limekuwaje? Yaani sehemu uliyo...
Umoja wa Afrika (AU) umeridhia kumuunga mkono Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) kuwa Mgombea pekee kutoka Bara la Afrika wa nafasi ya Urais wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 23 Machi, 2017 amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri.
Katika Mabadiliko hayo, Mhe. Rais Magufuli...
RC Makonda alikoleza vita ya Mihadarati kwa kutangaza majina ya watuhumiwa wa Dawa za kulevya hadharani bila ya ushahidi na hatimaye wengine kuachiwa huru baada ya kuthibitika kuwa walionewa kama...
DC mpya wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida Mwl. Fikiri Avias Saidi uteuzi wake umetenguliwa leo, ameteuliwa ndugu Miraji Mtaturu ambae alikuwa katibu wa CCM mkoani Mwanza.
Ngoma inogile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.