Waziri wa Nchi, @ortamisemitz Mhe. Mohamed Mchengerwa amekabidhi magari ya usimamizi shirikishi wa shughuli za Afya kwenye Halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro.
Mhe. Mchengerwa amekabidhi magari...
Stendi ya Bukoba ni moja miradi ninayo amini ni midogo sana kwa mkoa kama Kagera ila ni kati ya miradi ambayo imetembelewa na watu wengi kwa mwaka huu.
Amekwenda Waziri Mkuu kuikagua, wameenda...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema yeye atawashughulikia wale waliotangaza Msiba mtandaoni wa Makamu wa Rais baada ya Makamu kutoonekana kwa muda
Anadai sio kila jambo...
Wengi hasa waliokimbia ukatili wa Magufuli, na watanzania kwa ujumla walijenga matumaini ya utawala bora mara baada ya Samia kuingia madarakani. Sasa matumaini yamepotea kutokana na undemocratic...
Kumekuwepo na habari ambayo inavumishwa katika mitandao ya kijamii hasa hapa Jamiiforums kuhusu Elimu ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikati na Uenezi, Ndugu Nape Moses Nnauye...
Magufuli alitujengea fikra ya viwanda na viwanda vilijengwa vikubwa na vidogo. Pia sera zilibadilishwa ili kuibeba agenda ya viwanda. Mfumuko wa bei ulidhibitiwa na kuwatia moyo na ujasiri...
Salaam, Shalom!
Tunaambiwa tutoe maoni Ili kupata dira mpya ya Taifa Kwa miaka mingi ijayo,
Tusipoteze muda na pesa za walipa Kodi, Dira ya Taifa Inatakiwa iwemo ndani ya Katiba mpya,
Turudishe...
WIKO LA COMRADE
Jukumu la kumsifia na kumpongeza Rais wetu Dr Samia ni la wazalendo wote lisihusianishwe na u chawa.
Tutasema mazuri anayofanya Dr Samia kwa sababu sisi hatukuumbwa na roho za...
Mama Samia anafanya kweli, hayumbishwi hata kidogo. Hakuna tena longolongo ya kuitwa "mashirika ya umma" huku yanabaki kuwa kichaka cha wapigaji wachache. Mama amesema Arusha, mashirika ya umma...
Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia unaohusishwa na mradi wa maliasili wenye thamani ya dola milioni 150...
Awamu ya 5 ilipoingia Madarakani CHINI ya TINGATINGA wa CCM Bwana MAGUFULI tulitangaziwa kuwa NCHI inaenda kuwa ya VIWANDA VITUPU na Tatizo la VIJANA wetu KUZURURA na Bahasha za VYETI Kusaka AJIRA...
Hili ni swali ambalo kila Mwalimu na mdau wa maendeleo anatakiwa kujiuliza kabla hajafikiria kuwa ipo siku chama hicho cha wafanyakazi kitakuja kutetea maslahi ya Walimu nchini
Binafsi kwa wiki...
Ukijaribu kuangalia kwa makini utaona hata hapo mtaani kwenu kuna kamradi aidha kataanza mwaka huu au mwakani YANI mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa serikali kuu na serikali za mitaa.
Miradi hii...
TANESCO ni wa kushtakiwa. Tangia jana usiku wanakata umeme wanarudisha wanakata wanarudisha zaidi ya mara 10. Hii ni kuunguziana vitu.
Ufundi gani huo. Kama kuna mtoto anachezea switch.
Mara baada ya kuteuliwa aliwika sanaaa! Mara ghafla baada ya Chongolo kujiuzulu Makonda amekuwa kimyaaaa! Je,
1. Alipewa kazi maalum ya kum frustrate Chongolo kisaikolojia?
2.Au na yeye alipewa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amezindua kituo cha kwanza cha kisasa cha kujazia gesi asilia kwenye magari na karakana ya kuweka mfumo wa gesi asilia ikiwa ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais samia mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,nuru ya wanyonge, komandoo wa vita, simba wa nyika, nyota ya matumaini,mama wa upendo na...
Tunasubiri vifo ili turushe helkopta kuangalia kiwango cha uharibifu na idadi ya waliokufa badala ya kunusa mapema hatari na dalili vifo.
Kwa kilichotokea Hanang ni matokeo ya mipango mibaya ya...
Ndugu zangu wana JF, ni matumaini yangu mko sawa kabisa.
Rejea kichwa cha mada chahusika.
Hawa majirani zetu walitamani sana Hayati JPM angekuwa Rais wao enzi za uhai wake.
Binafsi naona kama...
Nyakati Hizi za kuelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu ndio huwaga tunashuhudia mbwembwe na Vibweka lukuki kutoka kwa Mawaziri wetu huku wakishadadiwa na Mapambio ya CHAWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.