Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika siasa anguko la mmoja ni faraja kwa wengine.Hii imedhihirika ndani ya CCM ambako baada ya anguko la Daniel Chongolo baadhi ya makada wenzake wanahaha kutaka kuwa mrithi wake. Wafuatao...
4 Reactions
72 Replies
8K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya kwanza imefanya majadiliano ya kidiplomasia na Serikali ya Finland kwa lengo la kuimarisha, kukuza na kudumisha ushirikiano katika sekta...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
UKWELI KUHUSU UJENZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) Mhe. Edward Ngoyai Lowassa yeye mwenyewe anaeleza, ananukuliwa kama ifuatavyo: "Sikuwashinikiza nilitaka watumie busara zao tu. Ilikuwa hivi...
4 Reactions
4 Replies
7K Views
Ni huzuni lakini inabidi tukubaliane na ukweli kuwa tumekubali kuwa kimya ili serikali iendeleze operation yake ya "cultural genocide" Ngorongoro. Wazungu kutoka ulaya wakati wanafika bara la...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja sitaki kuwachosha. Mnakumbuka vizuri madhila yaliyotupata watanzania mwaka jana wakati serikali ilipoongezeka tozo za miamala maradufu hivyo kufanya maisha ya...
9 Reactions
38 Replies
5K Views
Leo nilikuwa nafuatilia mahojiano katika channel ya Zamaradi TV kati ya mtangazaji na Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania ndg Gilead Teri. Katika mahojiano hayo, Mkurugenzi alijikita zaidi...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Tatizo kubwa la nchi za Afrika, na hasa Tanzania, ni mifumo mibaya kabisa ya kiutawala. Mifumo ambayo imekaa kinadharia na wala haifanyi kazi. Ni kama tunataka tu tuonekane mbele ya uso wa mataifa...
9 Reactions
11 Replies
777 Views
Haya mambo watu walikuwa wanadhani ni kwenye movie tu mnaweza jikuta nchi nzima mpo gizani watu washafanya yao. Nchi kama hizi huwa tunajisahau sana. Haya mashambulizi katika hii karne yanakuwepo...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakati Israel viongozi wa kuu ni makomandoo wa jeshi IDF au wakuu wa TISS kama Shinbet Mossad Shayetet 13 nk sisi tunalea machawa. TISS MJITAFAKARI.
12 Reactions
33 Replies
2K Views
Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu 1. Dkt. Francis Michael amehamishiwa Wizara ya Elimu, sayansi na teknolojia 2. Prof. Eliamani Sedoyeka amehamishiwa Wizara ya Maliasili na...
4 Reactions
32 Replies
8K Views
Nape Nauye Katibu wa uwenezi Ccm amesema kuwa wakati anamaliza masomo ya shule ya msingi mwaka 1993 alikuwa ni miongoni mwa vijana watatu kati ya 106 ambao walikuwa na akili shuleni alikosoma na...
4 Reactions
167 Replies
17K Views
Ameandika Martin Maranja Masese. Kiumbe ambaye CIVICS kidato cha nne alicheza na mswaki (F) anawezaje kuwa waziri wa kushughulika na masuala nyeti ya teknolojia, Habari na mawasiliano? Hatupo...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Taarifa kwa vyombo vya habari
0 Reactions
1 Replies
523 Views
Hebu leo tushirikishane Kwanini wengi wanaona kwenda kupiga kura ni kupoteza Muda?
5 Reactions
79 Replies
4K Views
Huyu Bwana licha ya kukabiliwa na tuhuma nyingi za ufisadi, kitu pekee tunachoweza kumshukuru ni kauli yake juu ya Mapillato wa Bongo kupigiwa simu na kupewa maelekezo watoe judgement za ain gani...
2 Reactions
5 Replies
627 Views
Ghafla pameibuka mijadala ya CV za Viongozi na namna walivyopata Vyeti vyao vya Elimu mfano Joshua Nassary n.k Niseme tu huu Mjadala hauna Tija yoyote kwa sababu Viongozi wote wa Upinzani CV zao...
5 Reactions
58 Replies
3K Views
Kama mwanafasihi, mwanafalsafa, mwanasaiklojia, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii nimesikiliza kwa makini sana hii hotuba ya rais wetu ndugu yangu na mama yangu Leah Ulaya nimegundua...
4 Reactions
73 Replies
6K Views
Ndugu Wana jukwaa hasa wadau wa demokrasia kuna tatizo kubwa sana nimeliona kwenye uharaka wa kufanya maamuzi ndani ya CHADEMA. Hapa tuangalie baadhi ya mifano. 1. Kuondoka kwa Dr. slaa...
15 Reactions
110 Replies
5K Views
Makamu wa Rais nakusalimu. Wewe sio makamu wa Rais wa familia yako.Wewe ni Makamu wa Rais wa Nchi.Watu wanapofuatilia taarifa zako wako sawa asilimia 100. Ukuonekana kwa muda mrefu na serikali na...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom