Kwanini nchi nyingi za Kiafrika zinaikataa Kampuni ya StarLink?

olimpio

JF-Expert Member
Apr 5, 2023
402
834
Hivi karibuni mamlaka ya mawasiliano ya Afrika ya kusini imetoa kauli ya kuzuia uingizwaji wa vifaa vya starLink.

Baada ya Afrika ya kusini Mamlaka ya mawasiliano ya Ghana nayo imepiga marufuku
India ni moja ya nchi barani Asia zilizo zuia pia, Uturuki na Egypt pia.

Ukiacha tetesi za CIA kuwa nyuma ya technolojia ya Elon Musk na kutaka kuitumia kufanya surveillance kwenye critical asset za nchi za watu kama majeshi nk.

Nini kingine kiko nyuma ya kukataliwa kwa starLink kwa nchi nyingi? Duniani nchi 65 zimeshakubali starLink na nchi takribani 130 bado hazijaikubali.

starlinkSA.jpg
StarlinkGhana.png
 

Attachments

  • StarlinkGhana.png
    StarlinkGhana.png
    201.2 KB · Views: 4
  • starlinkSA.jpg
    starlinkSA.jpg
    82.9 KB · Views: 6
Surveillance inafanywa kila siku.

Popote unapoona ubalozi wa Marekani upo basi ujue US ipo pale in a full force huwezi kuona tu wanajeshi wenye mitutu.

Mnatafuta justification tu mnaye waziri kilaza aliyeshindwa kuwaletea tu hata Paypal anachoweza ni kufura tumbo na kusema amepela internet mlima Kilimanjaro.

Mnajidai surveillance halafu product za kimarekani kibao mnatumia kama hizo apple na nyingine nyingi ambazo wakiamua kufanya surveillance hachomoki mtu.
 
HIyo kampuni kuna kipindi kulifumuka mjadala hapa kwetu bongo tukaambiwa waziri mwenye dhamana ameshindwa kutafsiri english!
 
Back
Top Bottom