Kinana azuru Kaburi la Hayati Magufuli wilayani Chato

TikTok2020

JF-Expert Member
Oct 20, 2022
1,817
3,141
Hakika wonders shall never end.

Nchi ina watu wanafiki wa kiwango cha lami, hivi huyu Kinana amekwenda kufanya nini hapo kama siyo unafiki?

---

Leo tarehe 12 Disemba 2023, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko wamezuru na kufanya sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli.

Kinana Ma.jpg
Kinana 1.jpg
Kinana.jpg
 
Tundu Lisu: Nitaenda kaburini kwa Shujaa Magufuli kuomba radhi
Labda alikuwa amekula cha Arusha siasa zisiwe kuuhadaa umma tunataka new progressive politics.

Nani alietufundisha kuwa dhana ya siasa ni "funika kombe mwanaharamu apite" siasa zimefanywa kuwa ni uongo 90% ukweli 10%.

Siasa za kuwahadaa wananchi kwa ahadi FEKI zimepitwa na WAKATI.
 
Hakika wonders shall never end

Nchi ina watu wanafiki wa kiwango cha lami hivi huyu kinana amekwenda kufanya nini hapo????kama sio unafiki

View attachment 2840664Chanzo: Gazeti la Mwananchi
Tukisema regasi ya Jamaa huku kwa Ground bado inaishi kwa nguvu zote inabidi tu mutuelewe !!
Ndio maana unaona jamaa wanapitapita huko kwa sababu wanajua huko ndiko kwenyewe ukitaka wapiga kura wanyonge walio wengi uwapate na Angalau wakuelewe Nchini !!
Panapo ukweli uongo hujitenga !!
Jamaa alijitengenezea upendo na kuaminiwa sana sana na watu wa hali ya chini katika Nchi hii na kwa bahati mbaya hao watu ndio walio wengi Nchini na ambao kwa vyovyote vile iwavyo au ilivyokuwa hawakubali kwamba mtu wao alikuwa ana mapungufu makubwa kama hayo yanayo semwa semwa na wabaya wake !! 😂😂🙏🙏😆.

Aliyepewa kapewa tu wajameni !!
Inabidi tukubaliane kutokukubaliana !! 🙏🙏. !!
 
Back
Top Bottom