Kwa nini Kinana amepita kule kule alikopita Makonda, anafuta nyayo?

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,498
37,792
Wiki Tatu zilizopita Mwenezi wa CCM Paulo Makonda alikuwa kanda ya ziwa katika ziara aliyosema anakwenda kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM na kupeleka maagizo ya Chama Kwa Watendaji wa serikali.

Baada ya ziara hiyo kimya kingi kimepita, lakini ghafla ametokea Makamu Mwenyekiti Abdulhman Kinana na kupita mle mle alimopita Makonda naye akikagua Utekelezaji wa Ilani ya Chama na kutoa maagizo ya Chama Kwa Watendaji wa serikali.

Yaani Chama kimoja kinapeleka maamuzi ya vikao vyake vya juu kupitia viongozi wawili tofauti Kwa Jambo lile lile?
 
Wiki Tatu zilizopita Mwenezi wa CCM Paulo Makonda alikuwa kanda ya ziwa katika ziara aliyosema anakwenda kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM na kupeleka maagizo ya Chama Kwa Watendaji wa serikali. Baada ya ziara hiyo kimya kingi kimepita, lakini ghafla ametokea Makamu Mwenyekiti Abdulhman Kinana na kupita mle mle alimopita Makonda naye akikagua Utekelezaji wa Ilani ya Chama na kutoa maagizo ya Chama Kwa Watendaji wa serikali.
Yaani Chama kimoja kinapeleka maamuzi ya vikao vyake vya juu kupitia viongozi wawili tofauti Kwa Jambo lile lile?
Kwani kuna ubaya gani?
 
Makonda alienda Kusini mwa Tanzania, ambako kinana alianzia. Ubaya twapenda fitina na uchochezi
 
Anajaribu kupima upepo wake na wa Makonda .Kwani ye Kinana alikuwa wapi siku zote kupita.? Si mlisema amesusa huyu au kaona wenzie wala?

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Ukimya wa ghafla wa PCM na ziara ya Mzee Kinana akiambatana na Mjumbe wa Kamati Kuu,Wajumbe wa NEC, Naibu Waziri Mkuu na na Pro Magufuli mwenyewe Kalemani. Kazi kweli kweli. Nimekumbuka uzi fulani wa Kaka Paschal Mayala ila bado sidhani maono yake yametimia haraka hivi. Muda utasema. Hivi ule uchunguzi kuhusu Katibu Mkuu unaendelea? Kuna mtu anauliza.
 
Kila aliyetukana ataenda kutubu, hata kubwa jinga Lisu aliomba kwenda akakataliwa.
 
Makamu Mwenyekiti Abdulhman Kinana na kupita mle mle alimopita Makonda
20231112_082648-jpg.2811165
 
Back
Top Bottom