Viongozi na watendaji wenye elimu ya mashaka wapo wengi, Serikali ifanye uhakiki upya

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,278
2,038
Wakati wa Utawala wa Awamu ya 5 Rais Magufuli aliamua kufuatilia ELIMU za Watendaji wa Serikali yake katika baadhi ya Maeneo hasa Waajiriwa wa Serikali za Mitaa na Serikali Kuu katika ngazi za chini huku Maeneo Kama ya VYOMBO vya Ulinzi na Usalama Mashirika ya Umma Wakuu wa wilaya Mikoa Wakurugenzi wa Halmashauri Wabunge hawakuguswa kabisa. Zoezi hilo mie binafsi nililiona lina UKAKASI na uonevu na kulindana.

ELIMU ni ufunguo wa Maisha hivyo ni busara kwa VIONGOZI wetu na Watendaji wanaowatumikia Wananchi tukawa na VIWANGO STAHIKI vya ELIMU vinavyotakiwa ili tuweze kuwaongoza Watendaji wetu bila UBABAISHAJI wa KIELIMU.

KIONGOZI anapaswa awe Mfano wa kuigwa wa kuwa na SIFA na ELIMU stahiki badala ya kuwa na ELIMU yenye Mashaka Makubwa kwa anaowaongoza.

Huu ni Wakati sahihi wa Serikali yetu kupitia ELIMU za VIONGOZI wetu na Watendaji wote katika Ngazi zote Kama Serikali ya AWAMU ya 5 ilivyofanya kwa Watendaji wa ngazi za Chini maarufu kwa VYETI FEKI na kuwaacha VIONGOZI na Watendaji wa Maeneo Mengine ambako bado kuna idadi kubwa ya Wenye ELIMU ya MASHAKA na VYETI FEKI.
 
Kulenga shabaha hakuitaji vyeti!
 
Wamekusikia Mkuu, tegemea lolote kuanzia sasa.

VIONGOZI WA KURITHISHANA SIO VIONGOZI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Wakati wa Utawala wa Awamu ya 5 Rais Magufuli aliamua kufuatilia ELIMU za Watendaji wa Serikali yake katika baadhi ya Maeneo hasa Waajiriwa wa Serikali za Mitaa na Serikali Kuu katika ngazi za chini huku Maeneo Kama ya VYOMBO vya Ulinzi na Usalama Mashirika ya Umma Wakuu wa wilaya Mikoa Wakurugenzi wa Halmashauri Wabunge hawakuguswa kabisa. Zoezi hilo mie binafsi nililiona lina UKAKASI na uonevu na kulindana.
Alimshindwa mwenezi na sasa ndiye anaeneza sumu
 
Wqbongo ni wajinga sana.
Hii hoja inajibiwa kishenzi sana.
Mfano. Eti Elimu sio sifa ya kiutendaji .
SASA KAMA MNAFAHAMU ELIMU SIO SIFA YA KIUTENDAJI KWANINI MNAJIPA VIWANGO VYA ELIMU VISIVYOSTAHILI ?
Mwisho wa siku mnaifanya jamii ipuuze kuhusu umuhimu wa elimu.
 
Wakati wa Utawala wa Awamu ya 5 Rais Magufuli aliamua kufuatilia ELIMU za Watendaji wa Serikali yake katika baadhi ya Maeneo hasa Waajiriwa wa Serikali za Mitaa na Serikali Kuu katika ngazi za chini huku Maeneo Kama ya VYOMBO vya Ulinzi na Usalama Mashirika ya Umma Wakuu wa wilaya Mikoa Wakurugenzi wa Halmashauri Wabunge hawakuguswa kabisa. Zoezi hilo mie binafsi nililiona lina UKAKASI na uonevu na kulindana.

ELIMU ni ufunguo wa Maisha hivyo ni busara kwa VIONGOZI wetu na Watendaji wanaowatumikia Wananchi tukawa na VIWANGO STAHIKI vya ELIMU vinavyotakiwa ili tuweze kuwaongoza Watendaji wetu bila UBABAISHAJI wa KIELIMU.

KIONGOZI anapaswa awe Mfano wa kuigwa wa kuwa na SIFA na ELIMU stahiki badala ya kuwa na ELIMU yenye Mashaka Makubwa kwa anaowaongoza.

Huu ni Wakati sahihi wa Serikali yetu kupitia ELIMU za VIONGOZI wetu na Watendaji wote katika Ngazi zote Kama Serikali ya AWAMU ya 5 ilivyofanya kwa Watendaji wa ngazi za Chini maarufu kwa VYETI FEKI na kuwaacha VIONGOZI na Watendaji wa Maeneo Mengine ambako bado kuna idadi kubwa ya Wenye ELIMU ya MASHAKA na VYETI FEKI.
Kams ulihisi ukakasi kipindi kile hata sasa bado ni ukakasi na uonevu!
 
Wewe hujui wanavyofanya kampeni zao?
Wanakufuata watu wanakuambia ,sisi ni wapambe wa,kwa mfano,Lowassa. Ukituahidi utamchagua Lowassa katika mkutano wa Chama wiki ijayo, tutakupa sh.10,000,000 fedha taslimu.
Halafu baadaye utasikia wati wanasema Lowassa ana haiba,anapaswa kuwa kiongozi.
Sasa unataka kuhakiki elimu za watu for what purpose?
George Weah aliweza vipi kuwa kiongozi wa Liberia? By the way,yule jamaa bado ni rais wa Liberia?
Au Imran Khan? Aliweza vipi kuwa kiongozi wa Pakistan?
 
Mtu kuwa na cheti sio uthibitisho kwamba ana elimu.Watu wanapata vyeti vya taaluma mbalimbali na vichwani hawana elimu yoyote, tofautisha hapo. Mtu apimwe kwa uwezo wa utendaji katika kuongoza juhudi za kutatua shida zilizopo katika jamii na si tittle ya cheti.
 
Back
Top Bottom