Kinana ajue kuwa Makada hasa Katibu Mwenezi Paul Makonda hadhalilishi watumishi wa Serikali bali anawakumbusha wajibu wao

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Makamu mwenyekiti wa CCM ameeleza kwamba makada wa chama cha mapinduzi wasidhalilishe watendaji wa serikali hiyo inamaana kuwa kitendo anachofanya Paul makonda nikinyime na taratibu katika kuwakumbusha watendaji wa serikali wajibu wao.

Mimi naweza kusema kwamba Paul makonda hadhalilishi viongozi wa serikali Bali anawakumbusha wajibu wao kuhudumia umma unaoongozwa na chama cha mapinduzi.

NI ngumu Sana mwenezi kueneza chama sehemu ambayo ina Kero lukuki gunajiuliza sasa kama kuna kero lukuki mwenezi ataeneza nini.

Raisi Samia amuangalie Sana kinana kwa jicho la Tatu anaweza kuwa hayuko nae katika kazi ya kutumikia wananchi na pia ajue kuwa kuwa nafasi ya juu katika uongozi wa chama yeye NI kiungo mhimu wa kuweza kuelekeza watendaji hao kufanya kazi kwani ccm ndiyo chama kinachoongoza serikali kwa Dira waliojiwekea wao ya kutekeleza mambo mabalimbali yanayohusu maendeleo kwa wananchi.

Wasipoambiwa watendaji hao Nani atawaambia ! Mzee kinana unalengo gani na mama nini maana ya Kuwaita mawaziri mizigo katika serikali ya awamu ya nne.

Nimalizie kwa kusema watendaji wa serikali wanakumbushwa wajibu wao na si kuwadhalilisha kama mzee kinana anavyisema mtu kama mwenezi hawezi kuwa mtalii huku kuna kero mbalimbali labda kama mnataka awe kama mjema akae kimya.
 
Makonda haelewi kabisa mifumo ya utawala.

Watendaji wa Serikali hawajaajiriwa na CCM. Wameajiriwa kwa taratibu zilizoainishwa kwenye mikataba ya ajira zao. Wala watendaji wa Serikali hawawajibiki kwa Makonda wala CCM.

Nafasi ya chama kwa watendaji wa Serikali, ni kuyafikisha malalamiko yao au mambo wanayoyaona hayaendi sawa, kwa Rais, ambaye anawajibika kwenye chama.

Rais ambaye ni kiongozi mkuu wa Serikali ndiye mwenye mamlaka juu ya mtendaji yeyote kwenye Serikali yake, siyo Makonda wala kiongozi mwingine yeyote wa CCM.
 
Takataka, baada ya uchaguzi, chama hupewa fursa kuingiza wanasiasa serikalini, kuanzia ngazi ya Rais mpaka kitongoji, awaulize hao kwanza. Kama hawana majibu, chama chake ni takataka
 
Makamu mwenyekiti wa CCM ameeleza kwamba makada wa chama cha mapinduzi wasidhalilishe watendaji wa serikali hiyo inamaana kuwa kitendo anachofanya Paul makonda nikinyime na taratibu katika kuwakumbusha watendaji wa serikali wajibu wao...
Mbona wakati anasema hakumtaja Makonda? Wewe kwa nini unamlisha maneno yako? Yeye amesemea viongozi wanaowadhalilisha watendaji wa serikali na kama Makonda naye yumo basi ujumbe umemfikia.

Binafsi sitaki nidhalilishwe hadharani na pia sitaki nimdhalilishe mtu hadharani. Bwana Yesu anatukumbusha "mtendee mwenzako kama unavyotaka kutendewa naye" (Luka 6:31-33).
 
Nashukuru mmeanza kuparuana wenyewe kwa wenyewe.

ENDELEENI MPAKA TUMPATE MSHINDI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kinana mzee mwenye misimamo lakini pia anabusara sana.

Nakumbuka kwenye kampeni ya kutembea nchi nzima akiwa na mwenezi kipindi kile NAPE alikua akijalibu kumzihaki mzee LOWASA, kinana alikua akimkemea nape kama mtoto wake.

Hivyo, kwasasa hata akimsema makonda ni moja ya kuwajenga vijana wa aina hii ya kukulupuka na kuongea chochote kwa mtu yeyote wa lika lolote.

Acha atembee kusawzisha kauli za mtoto wao. Mtoto akiwaonyesha kuwazalau wazee/watu majilani kwa kukosa adabu. Sio dhambi mzazi ukawatembelea majilani hao na kuwaonyesha kwamba mtoto amekosea.
 
Makamu mwenyekiti wa CCM ameeleza kwamba makada wa chama cha mapinduzi wasidhalilishe watendaji wa serikali hiyo inamaana kuwa kitendo anachofanya Paul makonda nikinyime na taratibu katika kuwakumbusha watendaji wa serikali wajibu wao...
Kinana katoa maelezo yaliyonyooka kabisa. Au alimtaja makonda katika maelezo yake? Kwanini uhisi makonda ndiyo mlengwa wa kauli yake?

Binafsi namshukuru Sana kinana kwa kuwakumbusha wanaccm wenzake .

mtumishi Kama kakosea Kuna Sheria zinazofuatwa kumuwajibisha na sio kumdhalilisha ili uonekane unafanya kazi mbele ya kamera hizo zama za kidwanzi zimepitwa na wakati
 
Makamu mwenyekiti wa CCM ameeleza kwamba makada wa chama cha mapinduzi wasidhalilishe watendaji wa serikali hiyo inamaana kuwa kitendo anachofanya Paul makonda nikinyime na taratibu katika kuwakumbusha watendaji wa serikali wajibu wao.

Mimi naweza kusema kwamba Paul makonda hadhalilishi viongozi wa serikali Bali anawakumbusha wajibu wao kuhudumia umma unaoongozwa na chama cha mapinduzi.

NI ngumu Sana mwenezi kueneza chama sehemu ambayo ina Kero lukuki gunajiuliza sasa kama kuna kero lukuki mwenezi ataeneza nini.

Raisi Samia amuangalie Sana kinana kwa jicho la Tatu anaweza kuwa hayuko nae katika kazi ya kutumikia wananchi na pia ajue kuwa kuwa nafasi ya juu katika uongozi wa chama yeye NI kiungo mhimu wa kuweza kuelekeza watendaji hao kufanya kazi kwani ccm ndiyo chama kinachoongoza serikali kwa Dira waliojiwekea wao ya kutekeleza mambo mabalimbali yanayohusu maendeleo kwa wananchi.

Wasipoambiwa watendaji hao Nani atawaambia ! Mzee kinana unalengo gani na mama nini maana ya Kuwaita mawaziri mizigo katika serikali ya awamu ya nne.

Nimalizie kwa kusema watendaji wa serikali wanakumbushwa wajibu wao na si kuwadhalilisha kama mzee kinana anavyisema mtu kama mwenezi hawezi kuwa mtalii huku kuna kero mbalimbali labda kama mnataka awe kama mjema akae kimya.
Chawa mmepigwa za uso na wenye chama chao mmefufuka mashimoni🤣🤣🤣
 
Kinana hakumtaja mtu, lakini ki-mamlaka ndani ya chama hicho Makonda ni mdogo kwa Kinana.
Bado Kinana anaweza kumkosoa Makonda hata kwa kumtaja jina lake, lakini kwa hekima ametumia nafasi hiyo kuwapa miongozo viongozi wa ngazi mbalimbali wa CCM kutumia busara kwenye majukumu yao.
 
Yule mzee ana maneno ya jumlajumla kama alivyomnanga mkuu wa nchi wa awamu ya tano nakumbuka aliwahi kusema watoe tamko la jumlajumla anapita mlemle akitaka kumfikishia ujumbe , huyo mzee ni mnafiki hatari, bahati nzuri mama mwenyewe anafanya nao kazi anawajuwa mm sina cha kusema chochote ! Hao ndio waliokuwa wanakaa vikao vya kumkwamisha aliyekuwa raisi wa awamu ya tano katika kazi yake hadi kufikia kuandika waraka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom