Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko amshukuru Makamu Mwenyekiti wa CCM Komredi Kinana kuwatembelea Kanda ya Ziwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,127
Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Bukombe na Waziri wa Nishati amemshukuru Makamu Mwenyekiti wa CCM Komredi Kinana kuwatembelea Kanda ya Ziwa Victoria

Aidha amemshukuru kwa Heshima aliyowapa CCM Bukombe ya kuwazindulia Majengo yao.

Source: Clouds TV
 
Makonda bana.

Hivi nani alimshukuru Mzee Laigwanan Bwana Tundu Lissu wa CHADEMA alivyotembelea(zuru au kuzurura) kanda ya Ziwa? Heche?
 
Naibu Waziri Mkuu Dr. Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Bukombe na Waziri wa Nishati amemshukuru Makamu Mwenyekiti wa CCM Komredi Kinana kuwatembelea Kanda ya Ziwa Victoria

Aidha amemshukuru kwa Heshima aliyowapa CCM Bukombe ya kuwazindulia Majengo yao.

Source: Clouds TV
Kipindi cha kutayarisha mashamba!
 
Back
Top Bottom