polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,362
- 5,809
Hivi hii ni makusudi au ninini, au kuna mbinu ya kumkomoa Mh Rais kimya kimya baada ya kujua sio mfuatiliaji wa maswala kama hayo?
Hilo ongezeko la kiwango hicho limekuwaje? Yaani sehemu uliyo kuwa unasafiri kwa elfu 10 saihiz ni elfu 15 sehemu uliyo safiri kwa 40,000 sasa hivi ni 55,000, hivi wananchi wanaangaliwa hapa au ni maslahi ya wafanya biashara ndio yanazingatiwa zaidi?
Kwakweli kwa sasa naona wafanya biashara wameishika nchi kweli kweli yaan wanaamua watakalo.
Hii nchi hiii, ndio maana kuna mtu alisema wafanya hiashara wakubwa sasa wanafanya kila wawezalo kuhakikisha mama anabaki madarakani kumbe kuna wanacho nufaika naye.
Mama tafadhari simama na wananchi maana ndio unao waongoza kwa wingi na ndio unao wahitaji kwenye kura hawa wafanya biashara wawe na kiasi usiwakumbatie sana wananchi tuna umizwa sana.