Na Charles Heche
Waswahili wanasema siku za mwizi ni arobaini, bila kupepesa macho naona siku za Freeman Mbowe ndani ya Chadema zinahesabika kutokana na ubadhirifu ambao umefanywa bila huruma...
Tunaelekea kwenye miaka miwili ya utawala wa kiimla ili kulazimisha Mama abaki madarakani kinguvu.
Kuanza kuzuia uhuru wa kujieleza hadi sehemu za starehe ni hatari. Mwishowe mama atakuja apate...
Kiukweli nakua na wasi wasi sana juu ya upinzani wa Tanzania ni kweli wanataka dola au watoa taarifa kama alivyosema Makonda.
Kwasababu gani nina mashaka na upinzani kwanini wanatulazimisha...
Mjadala wa siku nyingi ni juu ya pesa inayotumika kujengewa wanaohamishwa Ngorongoro. Sasa tutathibitisha mauzo ya mwarabu. Serikali haitaki kusema ni pesa ya mauzo ya Ngorongoro, ina maana ni...
Halafu GENTAMYCINE nikusaidie tu kwa Kukuambia kuwa Dagaa na Samaki wa Kawaida hawawezi kuwa Wakorofi na Wajanja Wajanja ndani ya Bahari halafu Mkubwa wao Nyangumi ama asijue au asiwe...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akipokea mchango wa Walimu Wakuu wa shule za Sekondari nchini kwaajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya...
Kama nilivyosema hakuna mtaji mzuri wa CCM kama umasikini na ujinga kwa Watanzania.
Ndio maana wanafanya kila hila ili umasikini uendelee.
Watanzania kila wakipambana hili wajikwamue na...
RAIS WETU MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AMEFANYA KAZI KUBWA SEKTA YA MAJI, HII NI ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAJI WILAYA YA LUDEWA.
ZIARA ITAGUSA MIRADI IFUATAYO
KATA YA MAVANGA
MRADI...
Urais wake unaweza kuwa unatishiwa na nani? kwa maana nguvu kubwa inatumika kumfanyia kampeni kila mahali t shirt zinavaliwa mabango kila mahali sasa against who?
Kutoka vyama vya upinzani pia...
Najua mpo mtakao nipinga ila sijali nitajua napingwa na hao hao WASOMI waliogeuka WAJINGA.
TANZANIA kwa sasa kupitia utitiri wa VYUO VIKUU ni wazi inazalisha WASOMI wengi.Idadi kubwa sana ya hao...
Wananchi wa Kijiji cha Mtisi, Kata ya Sitalike Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wamemgomea mwekezaji anayetaka kuwekeza katika maeneo ambayo yapo karibu na mto ambapo maeneo hayo ndio tegemeo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa ziarani Mkoa wa Mara tarehe 25, Julai amemtembelea Jenerali mstaafu David Musuguri Nyumbani kwake Butiama mkoani Mara...
Gen. David Bugozi Musuguri (103) rtd CDF amezawadiwa nini kwenye sherehe za miaka 62 ya uhuru? Miaka 44 ya vita ya Kagera? Miaka 46 ya utumishi jeshini (1942-1988)?
Vita alivyopigana:-
1. WW II...
Wanajamvi salaams
Naomba kuuliza hivi viongozi wa serikali wao hawapaswi kufata sheria mara watumiapo barabara?
Inasikitisha sana unapoona gari la kiongozi linavunja sheria ya usalama barabarani...
Alikuwepo Mkata utepe mmoja aliyetokea Magharibi mwa kisiwa cha Kusadikika alikuwa mpole, mnyenyekevu na asiye na makuu yeye alijua tu kufanya kazi katika wafalme mbali mbali wa kisiwa hicho...
Serikali iko katika mpango wa kuandaa dira au mpango wa maendeleo wa miaka 25 ijayo kwa nchi hii(2025-2050). Jambo hili halina tija kwa sababu nyi sana na hizi na baadhi tu.
1. Mipango ya muda...
NHIF mkoa wa Tabora wanasumbua sana wafanyakazi wanaongoza kwa kuomba rushwa, pia wanalazimisha na mwenza wake awe namba ya NIDA
Huu mfuko tunauchangia lakini masharti yamekuwa mengi lakini...
IMF Executive Board Completes Second Review Under the Extended Credit Facility Arrangement for the United Republic of Tanzania and Approves US$150.5 million Disbursement...
Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas, bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na...
Mdau ameeleza kwamba licha ya mamlaka husika kutoa tangazo kuwa kuna hitilafu ya miundo mbinu nakutoa ratiba ya maji kutoka imekuwa kiini macho NI kivuli cha ratiba kuwa yanatoka huku hamna watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.