Ndugu zangu Watanzania,
Katika kitu Rais Samia na Serikali yake amefanikiwa kuwapatia zawadi na kukonga nyoyo za mamilioni ya watanzania na kuondoa manung'uniko kwa watu, ni kile kitendo na...
Balozi wa Tanzania nchini Cuba Mh Polepole akizungumza mkoani Pwani kwenye kiwanda cha kutengeneza dawa ya kuuwa mbu amesikitishwa kukuta kiwanda hicho kimekosa soko baada ya wizara ya afya na...
Waliokuwa wakubwa kwenye utawala wa Jakaya Kikwete watakumbuka jinsi aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya nishati ya madini enzi hizo bwana Eliakim Maswi alivyong'olewa kwenye nafasi yake baada ya...
Tuacha kutumia lugha za ajabu ajabu za watu wenye akili ndogo kuwaleza viongozi au watawala wetu.
Mfano hizi lugha subjective ambazo ni za hisia zaidi za kiongozi fulani ni mkali, mpole...
JK tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi...
Ni Wakati sasa Wananchi kama Wananchi kujianzishia mchakato Wao wa Kupata Katiba mpya
Wanasiasa wameshapewa haja ya mioyo yao ambapo sheria zao za Uchaguzi watarekebishiwa kwenye Vikao Vya bunge...
Vyama vya upinzani kuelekea uchaguzi wa mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu 2025 tembeeni na agenda hizi tano(5) kama kipaumbele.
1. Hali ya Kodi/tozo na mahusiano yake kwa gharama za maisha...
Wanajeshi wa Jeshi la Tanzania JWTZ Wamewasili Mashariki ya DRC Ili kulinda amani baada ya kikosi Cha awali Cha Jeshi la Afrika Mashariki kikiongozwa na Kenya Kuondolewa kwenye hayo majukumu...
Akiwashukuru viongozi waliohudhuria katika tukio la usiku wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM KALIUA) na akitoa pongezi nyingi kwa DC wa Kaliua Dtk. Rashid Chuachua na Mwenyekiti...
Mkuu wa mkoa ataka madanguro yawe yenye hadhi na staha badala ya vile vibanda uchochoroni
[https://m.youtube.com/watch?v=-L8fJk4mSTk
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam pia azungumzia suala la demand...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo:
Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Maryam Ahmed Muhaji kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam...
Hakika Tanzania kupata kuongozwa na chama cha upinzani ni kazi ngumu sana.
Msikilizeni huyu tena ni mkuu wa shule kabisa lakini anayo yaongea ni sawa na darasa la chekechea.
Alafu watu kama hawa...
Uoga ni kitu kibaya sana kwenye hii Dunia. Ukitaka kukosa amani kwenye kila kitu unachokifanya hapa Duniani basi endekeza uoga. Umoja wa wakuu wa shule za sekondari Tanzanian (TAHOSSA) wiki jana...
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro anapenda kuujulisha umma na Wananchi wa Jimbo la Ngara kuwa anaendelea na Zoezi la ugawaji wa Television (TV) kwenye vijiwe/mabunge ya kahawa...
Najaribu kujiuliza japo sio Mwanasheria Je RUFAA yoyote hukatwa baada ya kuanza kutumikia Adhabu uliyopewa au kabla ya kutumikia Adhabu? WABUNGE
Halima Mdee na Genge Lake Wamepewa adhabu ya...
Watu wanaoishi Dar it's an asset to the Government. Lakini kwa RC Chalamila yeye hao ni liability nakwamba anatamani kuongoza watu wasiomtamkia changamoto.
Ameelekeza wanaolerwa na jiji la DSM...
Wanabodi,
Nimeangalia Taarifa ya habari ya ITV, saa 5:00 usiku huu, kiukweli Nimekubali Matokeo!, UKAWA Kanda ya Ziwa ni Noma!, hii combination ya JJ. Mnyika na Salum Mwalimu, ni combination ya...
UPOTOSHAJI JUU YA KAULI YA PAPA FRANCIS NA KANISA LA ROMAN CATHORIC KUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA NA TAARIFA ZA VYOMBO VYA HABARI
Na Mansour Jumanne (Senior Journalist )
Kumekuwa na upotoshaji...
Tunaona reaction ya watu kuhusu mauaji ya yule ndugu anayesemwa ameuawa na Hamas. Kile sio kitendo cha kibinadamu na cha kukemewa sana.
Japo sasa kemeo linaweza kuwa halina impacts kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.