Kinana aadhimisha siku ya mashujaa kwa kumtembelea Jenerali Mstaafu David Musuguri

Hamduni

Senior Member
Apr 25, 2020
155
108
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa ziarani Mkoa wa Mara tarehe 25, Julai amemtembelea Jenerali mstaafu David Musuguri Nyumbani kwake Butiama mkoani Mara ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Mashujaa nchini.

Ndugu Kinana akiwa Nyumbani kwa Jenerali Mstaafu Musuguri amesema amepita hapo ikiwa ni siku ya Mashujaa nchini lakini pia kuchukua Baraka akiwa anaendelea na Ziara yake ya Ukaguzi wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025.

"Ikiwa leo ni siku ya Mashujaa nchini moja ya shujaa aliyeliongoza Taifa katika Vita ya Idd Amin nchini Uganda ni Jenerali Msuguri. Yeye mbali ya kuliongoza Jeshi kwa miaka nane ameitumikia kwa miaka 50 hii ikiwa ni ishara ya ushujaa, ukombozi na uzalendo".

"Nikiwa Ziarani kikazi Mkoani Mara nimepita nyumbani kwake Butiama ili kuchota Baraka za shujaa huyu wa Taifa la Tanzania na nchi nyingine zilizokombolewa na Tanzania" alisema Kinana.

Katika ziara hiyo Makamu Mwenyekiti ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Sophia Edward Mjema.

#SautiYaMwenezi
#CCMImara
#KaziIendelee
IMG-20230725-WA0012.jpg
IMG-20230725-WA0012.jpg
 
Mwamba Kinana!!!
Kuna watu wakisikia tu hilo jina la huyo mwamba midomo huenda pembeni kama wamepigwa stroke!!
Ila kujitoa ufahamu napo kunataka moyo.

Yaani ukute baba yako mzazi aliekulea hujawahi msifia kwa jitihada zake lakini upo radhi usifie hata visivyosifika.

Kwahiyo hiyo midomo inayokwenda upande ni sababu huyo Kinana ni jini au???

Hata kama ni kwa maslahi ya tumbo wekeni mipaka basi.
Inaelekea kwa uchawa hata Kinana akijamba na upo karibu unaweza mmwagia sifa kuwa anajamba kitaalam na ushuzi wake haunuki😂😂
 
Najua, nyie nyumbu, ili mtu awe ameongea cha maana basi ni kumsifia mbowe tu!!!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa ziarani Mkoa wa Mara tarehe 25, Julai amemtembelea Jenerali mstaafu David Musuguri Nyumbani kwake Butiama mkoani Mara ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Mashujaa nchini.

Ndugu Kinana akiwa Nyumbani kwa Jenerali Mstaafu Musuguri amesema amepita hapo ikiwa ni siku ya Mashujaa nchini lakini pia kuchukua Baraka akiwa anaendelea na Ziara yake ya Ukaguzi wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025.

"Ikiwa leo ni siku ya Mashujaa nchini moja ya shujaa aliyeliongoza Taifa katika Vita ya Idd Amin nchini Uganda ni Jenerali Msuguri. Yeye mbali ya kuliongoza Jeshi kwa miaka nane ameitumikia kwa miaka 50 hii ikiwa ni ishara ya ushujaa, ukombozi na uzalendo".

"Nikiwa Ziarani kikazi Mkoani Mara nimepita nyumbani kwake Butiama ili kuchota Baraka za shujaa huyu wa Taifa la Tanzania na nchi nyingine zilizokombolewa na Tanzania" alisema Kinana.

Katika ziara hiyo Makamu Mwenyekiti ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Sophia Edward Mjema.

#SautiYaMwenezi
#CCMImara
#KaziIendelee
View attachment 2699313View attachment 2699314
Mtoa mada ulikuwepo au umechukua mahali?
 
Mzee Musuguli ndiyo celeb aliyebaki hai Tanzania akiwa na Umri mrefu

Mzee Musuguli miaka 100+ lakini still bado yupo njema

Mungu aendelee kumjalia sia njema

=======

Vijana jitahidini kutunza afya zenu kufikia walau nusu ya Umri wa Mzee huyu

Maana mapombe makali mnayobugia kila siku pamoja na ngono zembe hizi za Threesome mnazopiga sioni kuna kutoboa Umri wake
 
Ali Hassan Mwinyi.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom