Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,398
- 3,907
Alikuwepo Mkata utepe mmoja aliyetokea Magharibi mwa kisiwa cha Kusadikika alikuwa mpole, mnyenyekevu na asiye na makuu yeye alijua tu kufanya kazi katika wafalme mbali mbali wa kisiwa hicho kilichoko mashariki mwa bara la giza
Umaarufu wa Mkata utepe ulivuma Sana alipopewa kazi ya kutunza kibubu cha kisiwa hicho kwani mfalme wa wakati huo alimwamini Sana kwa misimamo yake ya kutoyumba na uaminifu mkubwa
Baada ya Muda Mfalme yule alitwaliwa kwa Mwenye nguvu zote na Duniani na ulimwenguni na baadaye akaja malkia kama Mrithi wa kisiwa cha Kusadikika.
Malkia yule alimpa kazi ya kukata utepe na wazee wa kisiwa kile walimwambia Malkia kuwa mwanzoni mwa kalenda mpya Malkia inabidi Amwachie kiti cha enzi yule Mkata utepe na hatimaye mkata utepe awe mfalme wa kisiwa cha kusadikika kwa mwaka muongo 1 na miaka 2
Lakini kabla ya mkata utepe yule hajapewa majukumu ya kuwa mfalme wa kisiwa cha kusadikika ilibidi akutane kwanza na wazee wa enzi kumpa nguvu na kumuonyesha njia sahihi na namna ya kuongoza kile kisiwa cha kusadikika
Mfalme huyu alitokea baada ya masaa zaidi ya 2000 na tukio lile lilikuja kuwaacha Hoi waliokuwa wanaulilia ufalme wa kisiwa cha kusadikika na wategemezi wa Malkia aliyejaa siri nyingi na nzito waliangua kilio na walizimia baadhi yao kujiua
Hiyo ilikuwa ni Hadithi ya Kisiwa cha Kusadikika