Rais Samia amefanya makubwa sekta ya maji wilayani Ludewa

Hamduni

Senior Member
Apr 25, 2020
155
108
RAIS WETU MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AMEFANYA KAZI KUBWA SEKTA YA MAJI, HII NI ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAJI WILAYA YA LUDEWA.

ZIARA ITAGUSA MIRADI IFUATAYO

KATA YA MAVANGA
MRADI WA MAJI KIJIJI CHA MAVANGA
• Gharama za mkataba (Mkandarasi): Tsh. 1,340,809,578.
• Mradi utahudumia wakazi: 5,249
• Mradi umetekelezwa kwa 92% na unatoa huduma.
Kazi zilizotekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa mtego wa maji (Intake)
• Ujenzi wa tenki la maji 200m3 na ukarabati wa tenki la maji 120m3
• Uchimbaji wa mitaro na ulazaji wa mabomba kilomita 19.72
• Ujenzi wa vituo 14 vya kuchotea maji
• Ujenzi wa uzuio kwenye matenki
• Ujenzi wa Ofisi ya Chombo cha usimamizi wa watumia maji ngazi ya jamii unaendelea

KATA YA IWELA
*
MRADI WA MAJI KIJIJI CHA IWELA
• Gharama za Mradi: Tsh. 1,450,875,400.00.
• Mradi unahudumia wakazi: 1,397
• Mradi umetekelezwa kwa 100% na unatoa huduma

Kazi zilizotekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa mtego wa maji (Intake)
• Ujenziwa matenki mawili (50m3 juu ya mnara wa 9m na ground tenki 75m3)
• Ujenzi wa mtandao wa mabomba kilomita 28
• Ujenzi wa vituo 17 vya kuchotea maji
• Ujenzi wa tenki la kupozeshea maji (BPT) moja
• Ujenzi wa uzuio kwenye matenki yote mawili
• Ujenzi wa Malambo mawili ya kunyweshea mifugo eneo la Kisekela na Ndete

KATA YA LUDEWA MJINI

MRADI WA MAJI LUDEWA MJINI

• Gharama za mradi: Tsh. 7,415,000,000.
• Kiasi kilichopokelewa na kulipwa Tsh. 1,131,000,000.00
• Mradi utahudumia wakazi: 10,066
• Kukamilika kwa mradi kutaongeza huduma kutoka 67% ya sasa hadi 100%
• Mradi umetekelezwa kwa 33%

Kazi zilizotekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa kidakio cha maji kipya (ujenzi umekamilika
• Ujenzi wa Tank la zege la lita 500,000 (ujenzi umekamilika
• Ujenzi wa vioski vitatu
• Ulazaji wa bomba kuu la maji 21km
• Ukarabati wa Matenk ya Kilimahewa (200m3-block na 240m3-mawe)
• Ukarabati na upanuzi wa mtandao wa bomba 26.42km
• Ununuzi na ufungaji wa Dira za Maji 524
(Utekelezaji wa mradi unaendelea)

KATA YA MANDA
MRADI WA MAJI KIJIJI CHA IGALU

• Gharama za mkataba ujenzi wa mradi (Mkandarasi): Tsh. 130,732,000.00 (VAT exclusive).
• Mradi utahudumia wakazi: 667
• Mradi umetekelezwa kwa 55%
-Kazi zitakazo tekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa tenki la maji 50m3
• Uchimbaji wa mitaro 8.6km na ulazaji wa bomba 3.5km
• Ujenzi wa 6 vituo vya kuchotea maji
• Uchimbaji wa kisima kirefu, ufungaji wa pampu na mfumo wa Solar

#LudewaYetu #LudewaView attachment 2846155
IMG-20231218-WA0064.jpg
 
Mnatakiwa muiwajibishe serekali na wao ndio wasikie aibu sasa madaba ni yakukosa maji na mito ile kuanzia mavanga? vipi kwanza ile barabara kutoka madaba kupitia shambani kwa mzungu anayelima na kuvuna mbegu imekamilika toka harakati za filiku njombe sijui kama waliimaliza any way ni kitambo sana nimetoka hapo inabidi serekali ijisikie aibu sehemu zenye vyanzo vya maji zinakosaje maji salama ya bomba.

Hata umeme kama sio kanisa kujiongeza sijui ni kanisa ama ni nani aliyeweka kashine ya kufua kijiji na eneo hilo likapata umeme hamtakiwi kuisifia ni wajibu wa serikali.
 
Baada Ya Ziara Unakuta Maji Hayatoki
WWakati Wa Jiwe Alikuwa Anajaziwa Tanks Za Kukaguliwa Na Bowser
Akiondoka Mchezo Umeisha
 
RAIS WETU MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AMEFANYA KAZI KUBWA SEKTA YA MAJI, HII NI ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAJI WILAYA YA LUDEWA.

ZIARA ITAGUSA MIRADI IFUATAYO

KATA YA MAVANGA
MRADI WA MAJI KIJIJI CHA MAVANGA
• Gharama za mkataba (Mkandarasi): Tsh. 1,340,809,578.
• Mradi utahudumia wakazi: 5,249
• Mradi umetekelezwa kwa 92% na unatoa huduma.
Kazi zilizotekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa mtego wa maji (Intake)
• Ujenzi wa tenki la maji 200m3 na ukarabati wa tenki la maji 120m3
• Uchimbaji wa mitaro na ulazaji wa mabomba kilomita 19.72
• Ujenzi wa vituo 14 vya kuchotea maji
• Ujenzi wa uzuio kwenye matenki
• Ujenzi wa Ofisi ya Chombo cha usimamizi wa watumia maji ngazi ya jamii unaendelea

KATA YA IWELA
*
MRADI WA MAJI KIJIJI CHA IWELA
• Gharama za Mradi: Tsh. 1,450,875,400.00.
• Mradi unahudumia wakazi: 1,397
• Mradi umetekelezwa kwa 100% na unatoa huduma

Kazi zilizotekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa mtego wa maji (Intake)
• Ujenziwa matenki mawili (50m3 juu ya mnara wa 9m na ground tenki 75m3)
• Ujenzi wa mtandao wa mabomba kilomita 28
• Ujenzi wa vituo 17 vya kuchotea maji
• Ujenzi wa tenki la kupozeshea maji (BPT) moja
• Ujenzi wa uzuio kwenye matenki yote mawili
• Ujenzi wa Malambo mawili ya kunyweshea mifugo eneo la Kisekela na Ndete

KATA YA LUDEWA MJINI

MRADI WA MAJI LUDEWA MJINI

• Gharama za mradi: Tsh. 7,415,000,000.
• Kiasi kilichopokelewa na kulipwa Tsh. 1,131,000,000.00
• Mradi utahudumia wakazi: 10,066
• Kukamilika kwa mradi kutaongeza huduma kutoka 67% ya sasa hadi 100%
• Mradi umetekelezwa kwa 33%

Kazi zilizotekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa kidakio cha maji kipya (ujenzi umekamilika
• Ujenzi wa Tank la zege la lita 500,000 (ujenzi umekamilika
• Ujenzi wa vioski vitatu
• Ulazaji wa bomba kuu la maji 21km
• Ukarabati wa Matenk ya Kilimahewa (200m3-block na 240m3-mawe)
• Ukarabati na upanuzi wa mtandao wa bomba 26.42km
• Ununuzi na ufungaji wa Dira za Maji 524
(Utekelezaji wa mradi unaendelea)

KATA YA MANDA
MRADI WA MAJI KIJIJI CHA IGALU

• Gharama za mkataba ujenzi wa mradi (Mkandarasi): Tsh. 130,732,000.00 (VAT exclusive).
• Mradi utahudumia wakazi: 667
• Mradi umetekelezwa kwa 55%
-Kazi zitakazo tekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa tenki la maji 50m3
• Uchimbaji wa mitaro 8.6km na ulazaji wa bomba 3.5km
• Ujenzi wa 6 vituo vya kuchotea maji
• Uchimbaji wa kisima kirefu, ufungaji wa pampu na mfumo wa Solar

#LudewaYetu #LudewaView attachment 2846155View attachment 2846156
Ukombozi wa fikra unahitajika sana Tanzania.

Sikiliza wewe, maji sio Moja ya vitu vya maendeleo, maji ni Basic human needs. Ni Tanzania pekee kwa sababu ya raia vilaza kama wewe ndio tunaconcider maji kama maendeleo, hata Burundi hapo maji sio maendeo.
 
RAIS WETU MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AMEFANYA KAZI KUBWA SEKTA YA MAJI, HII NI ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAJI WILAYA YA LUDEWA.

ZIARA ITAGUSA MIRADI IFUATAYO

KATA YA MAVANGA
MRADI WA MAJI KIJIJI CHA MAVANGA
• Gharama za mkataba (Mkandarasi): Tsh. 1,340,809,578.
• Mradi utahudumia wakazi: 5,249
• Mradi umetekelezwa kwa 92% na unatoa huduma.
Kazi zilizotekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa mtego wa maji (Intake)
• Ujenzi wa tenki la maji 200m3 na ukarabati wa tenki la maji 120m3
• Uchimbaji wa mitaro na ulazaji wa mabomba kilomita 19.72
• Ujenzi wa vituo 14 vya kuchotea maji
• Ujenzi wa uzuio kwenye matenki
• Ujenzi wa Ofisi ya Chombo cha usimamizi wa watumia maji ngazi ya jamii unaendelea

KATA YA IWELA
*
MRADI WA MAJI KIJIJI CHA IWELA
• Gharama za Mradi: Tsh. 1,450,875,400.00.
• Mradi unahudumia wakazi: 1,397
• Mradi umetekelezwa kwa 100% na unatoa huduma

Kazi zilizotekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa mtego wa maji (Intake)
• Ujenziwa matenki mawili (50m3 juu ya mnara wa 9m na ground tenki 75m3)
• Ujenzi wa mtandao wa mabomba kilomita 28
• Ujenzi wa vituo 17 vya kuchotea maji
• Ujenzi wa tenki la kupozeshea maji (BPT) moja
• Ujenzi wa uzuio kwenye matenki yote mawili
• Ujenzi wa Malambo mawili ya kunyweshea mifugo eneo la Kisekela na Ndete

KATA YA LUDEWA MJINI

MRADI WA MAJI LUDEWA MJINI

• Gharama za mradi: Tsh. 7,415,000,000.
• Kiasi kilichopokelewa na kulipwa Tsh. 1,131,000,000.00
• Mradi utahudumia wakazi: 10,066
• Kukamilika kwa mradi kutaongeza huduma kutoka 67% ya sasa hadi 100%
• Mradi umetekelezwa kwa 33%

Kazi zilizotekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa kidakio cha maji kipya (ujenzi umekamilika
• Ujenzi wa Tank la zege la lita 500,000 (ujenzi umekamilika
• Ujenzi wa vioski vitatu
• Ulazaji wa bomba kuu la maji 21km
• Ukarabati wa Matenk ya Kilimahewa (200m3-block na 240m3-mawe)
• Ukarabati na upanuzi wa mtandao wa bomba 26.42km
• Ununuzi na ufungaji wa Dira za Maji 524
(Utekelezaji wa mradi unaendelea)

KATA YA MANDA
MRADI WA MAJI KIJIJI CHA IGALU

• Gharama za mkataba ujenzi wa mradi (Mkandarasi): Tsh. 130,732,000.00 (VAT exclusive).
• Mradi utahudumia wakazi: 667
• Mradi umetekelezwa kwa 55%
-Kazi zitakazo tekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa tenki la maji 50m3
• Uchimbaji wa mitaro 8.6km na ulazaji wa bomba 3.5km
• Ujenzi wa 6 vituo vya kuchotea maji
• Uchimbaji wa kisima kirefu, ufungaji wa pampu na mfumo wa Solar

#LudewaYetu #LudewaView attachment 2846155View attachment 2846156
Ni wajibu wa serikali kufanya hivyo, halafu acha ujinga wa kusifiasifia Rais, Kodi yako ndio imefanya haya. Eti hoo Rais katupa fedha, ni zake???.
 
WANASIFIA ATM KWA KUWAPA FEDHA ZAO WENYEWE, HUO NI WAJIBU WAKE KAMA KIONGOZI LAKINI UTAFIKIRI ANATOA FEDHA ZAKE MKONONI,

HUU UCHAWA HUU UMEZIDI
 
Back
Top Bottom