Tatizo la maji manispaa ya shinyanga limekuwa sugu kwa wakazi wa eneo hilo ni wiki ya pili sasa hawapati maji.

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Mdau ameeleza kwamba licha ya mamlaka husika kutoa tangazo kuwa kuna hitilafu ya miundo mbinu nakutoa ratiba ya maji kutoka imekuwa kiini macho NI kivuli cha ratiba kuwa yanatoka huku hamna watu wengi wamelalamikia mamlaka hiyo lakini imeziba masikio hakuna kinachofangika watu wanaoga maji ya kwenye madimbwi hata madimbwi hayo inaelezwa kwamba yamekauka,

Mamlaka husika zinazotoa huduma hiyo swala Hili lilifanyie kazi kwa haraka na kutoa taarifa za kweli kwa umma.
 
Kahama MC ndiyo usipime!

Tumerudi nyuma sana kwenye upatikanaji wa maji na umeme nchi hii kwa sasa!
 
Back
Top Bottom