Viongozi Serikalini wanaongoza kuvunja sheria za usalama barabarani

TikTok2020

JF-Expert Member
Oct 20, 2022
1,817
3,141
Wanajamvi salaams

Naomba kuuliza hivi viongozi wa serikali wao hawapaswi kufata sheria mara watumiapo barabara?

Inasikitisha sana unapoona gari la kiongozi linavunja sheria ya usalama barabarani halafu na askari hana jeuri ya kumfanya chochote.

Yani wao muda wote wanaharaka hata muda wa kurudi nyumbani jioni hawataki kukaa kwenye msongamano nadhani wanatamani watumie ving'ora.

Hii hauko sawa hata kidogo hivyo vyeo ni makoti tu ya kuazima muda ya kuazima ukiisha wewe ni raia tu kama raia mwingine.

Punguzeni kuvimba mtapasuka.
 
Mkuu tayari umeshasema viongozi, ukitaka kwenda nao pasu na wewe kuwa kiongozi wa serikali, huna haja ya kulialia..
 
Picha tafadhali
 
Mkuu tayari umeshasema viongozi, ukitaka kwenda nao pasu na wewe kuwa kiongozi wa serikali, huna haja ya kulialia..
Ndo wale wale kasoro majina yao sasa wote tukiwa viongozi patatosha????

Akili ndogo siku nyingine do not reply😕😏
 
Wanajamvi salaams

Naomba kuuliza hivi viongozi wa serikali wao hawapaswi kufata sheria mara watumiapo barabara?

Inasikitisha sana unapoona gari la kiongozi linavunja sheria ya usalama barabarani halafu na askari hana jeuri ya kumfanya chochote.

Yani wao muda wote wanaharaka hata muda wa kurudi nyumbani jioni hawataki kukaa kwenye msongamano nadhani wanatamani watumie ving'ora.

Hii hauko sawa hata kidogo hivyo vyeo ni makoti tu ya kuazima muda ya kuazima ukiisha wewe ni raia tu kama raia mwingine.

Punguzeni kuvimba mtapasuka.
Mkuu, sio magari ya viongozi wa serikali, madereva wote wa magari ya setikali ni wavunja sheria waliokubuhu. Bahati mbaya askari wa Usalama barabarani wanawaangalia tu, wanahangaika na magari binafsi kana kwamba magari ya binafsi ndio yanaitia hasara zaidi serikali kuliko magari ya serikali.

Vv
 
Back
Top Bottom