HUSSEN KAMBI
Senior Member
- Dec 4, 2023
- 175
- 212
Kiukweli nakua na wasi wasi sana juu ya upinzani wa Tanzania ni kweli wanataka dola au watoa taarifa kama alivyosema Makonda.
Kwasababu gani nina mashaka na upinzani kwanini wanatulazimisha kupiga kura hali ya kuwa mfumo uliokuwepo wa uchaguzi hauruhusu mpinzani kushika dola na wao wanalijua hilo.
Lakini kwanini watuaminishe kitu ambacho wanajua akiwezekani au wanatulazimisha kupiga kura hili kuisaidia serikali na CCM kuiaminisha dunia kama Tanzania kuna uchaguzi ili waendelee kupata misaada.
Kwanini nimesema mfumo uliokuwepo au ruhusu mpinzani kushika dola kwanza uchaguzi unasimamiwa na ccm, pili tume ya uchaguzi imeteuliwa na CCM, tatu vyombo vya dola vyote vinatii amri ya Amiri Jeshi Mkuu ambaye ni mwenyekiti wa CCM.
Tatu refa lee wa pambano hilo ni CCM nne hata ikionekana refa lee katoa ma amuzi ambayo sio sahihi hamna hatua yoyote anayochukuliwa kisheria kwani sheria ya uchaguzi hiliokuepo inamlinda ccm wameweka kifungu ambacho kinasema matokeo ya urais hayapingwi kokote.
Kwanini waeke kifungu hicho kiujumla mambo yote yanayo uhusiana na uchaguzi wanapanga wao ccm sasa kwa mazingira haya upinzani utapitia wapi na haya niliosema viongozi wetu wa upinzani yote haya wanayajua lakini bado wanalazimisha watu wapige kura.
Nilikua naikubali chadema kwasababu hawakushiriki uchaguzi wowote wamarudio wakidai mfumo wa uchaguzi sio rafiki na mimi niliwapongeza sana kwa msimamo huo.
Na mpaka siku moja Mbowe alikuja Kariakoo kijiwe cha raha na mimi nikamuambia tunaipongeza chadema kwakususia chaguzi zote za marudio na nikamuambia sio uchaguzi wa marudio tu hadi kwenye uchaguzi mkuu muwe na msimamo huohuo.
Mwenyekiti Mbowe akanijibu kwakuniambia ndugu yangu Huseni kambi chadema hatuna misimamo yakuyumba yumba atuto shiriki uchaguzi wowote kwa mfumo huu cha ajabu.
Juzi nimemsikia kiongozi muandamizi wa chadema akisema watashiriki uchaguzi mkuu ushahidi wa mahojiano yangu mimi na Mbowe.
Nenda YouTube andika neno hili mwanachama wa ACT amuuliza swali Mbowe basi utaona leo chadema imegeuka.
Ndiyo maana nikasema nina mashaka na Wapinzani wa Tanzania na mimi nasema kwa mfumo huu ukiendelea kutumika sitopiga kura na nitamshawishi yoyote anaye niamini asipige kura