Umasikini na ujinga ni mtaji mzuri sana kwa CCM hili kuendelea kukaa madarakani

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Dec 4, 2023
175
212
Kama nilivyosema hakuna mtaji mzuri wa CCM kama umasikini na ujinga kwa Watanzania.

Ndio maana wanafanya kila hila ili umasikini uendelee.

Watanzania kila wakipambana hili wajikwamue na umasikini na wao wanajitahidi kuwa kwamisha

Watanzania wana bidii sana yakutafuta na serikali ina bidii sana yakuwa kwamisha.

Mfano kila Mtanzania anapo pangilia bajeti zake serikali inakuja kumuaribia wanafanya kila jambo kuhakikisha malengo ya mtu wa hali ya chini haya

Ndiyo maana kila kukicha wanamuongezea gharama raia mara tozo mara kodi ya majengo mara ongezeko la nauli na mengine mengi.

Yote haya yana haribu bajeti ya mlala hoi haya hayafanyiki kwa bahati mbaya wanafanya makusudi hili kumrudisha nyuma Ntanzania.

Kwenye ujinga wanajenga shule nyingi lakini hazina walimu hazina madawati na ndio maana shule wana zi simamia wao lakini hawapeleki watoto zao kwenye shule hizo wao wanapeleka watoto zao shule ambazo mwaka tu mtoto wake anaongea kimombo.

Lakini shule wanazo zi simamia wao miaka kumi mtu hawezi kuongea kimombo na hili ujue ujinga unafaida kwenye chama chao ngoja huone wanapo itisha mikutano yao wengi wanaojaa ni watu wa hali ya chini mtu ambaye hata kula yake haujui utakuta mtu anasombwa na gari kwenda kwenye mkutano.

unapokwisha mkutano ana baki kushangaa gari hiliomleta haioni inabidi harudi na mguu alikotoka wengi wanao hudhuria mikutano yao wengi ni wajinga na masikini utakuta mtu hata maana ya hoe hajui akiambiwa CCM hoyee yeye anajibu hoyeee.

Halafu akitoka hapo anaomba mia ya kahawa ujinga na umasikini ni mtaji mzuri kwa chama cha mapinduzi kuna baadhi ya watu wanadanganyawa na viongozi.

Kwa kuwa ambia Tanzania ina ma adui wa tatu ujinga umasikini na maradhi ni kweli ni ma adui watanzania lakini ni marafiki wa ccm hayo mambo yote matatu ni rafiki mzuri wa ccm na ndio maana kila siku wanamwagilia mbolea kwenye mambo hayo hili yazidi kuwepo kwenye umasikini kila mara wanapandisha gharama za maisha kwenye uhusiano
ujinga kila siku wanajenga shule nyingi ambazo hazina walimu kwenye maradhi wameunda tume nyingi na hizo tume zina wenyeviti utasikia mwenye kiti wa tume ya kudhibiti maralia huyo mwenyekiti anae ambiwa wakudhibiti maralia.

Anatembelea v8 ana mshahara na marupurupu kibao hivyo vyote ana vipata kwa ajili maralia kuwepo niambie wewe huyu mwenyekiti atadhibiti maralia hili kibarua chake ki ishe au ataboresha maralia hili.

Kibarua chake kiendelee kuwepo jibu unalo wewe ujinga umasikini ni tunu ya chama cha mapinduzi vitalindwa kwa gharama yoyote maana yakuandika maneno haya kamwe tusitarajie wala kuwaza wala kufikiri eti CCM inania ya ya dhati yakuwaondolea wananchi umasikini na ujinga.

Kamwe haito fanya hivyo na wala haito thubutu kufanya hivyo njia pekee ya kuepukana na haya ni kuikataa ccm kwa hali na mali
 
Inawezekana una hoja ila sasa ulivyoandika mkuu inatia uvivu kusoma maana hata vituo hamna, aya hamna.
 
Binafsi mm naona mtaji wa ccm ni ujinga na uoga wa watanzania.
*Kuna wasomi lkn waoga kinyama. Hawawezi kutumia taaluma zao kukosoa serikali na kuonesha njia sahihi ya kiuongozi.
*Kuna wajinga ambao pia ni waoga. Hawa ndiyo tatizo kubwa.
 
Ni mtazamo wako wala sikupingi
 
Vyombo vya ulinzi na usalama pekee ndio vinaiweka CCM madarakani.
Vyombo vya ulinzi na usalama pekee ndio vitaitoa CCM madarakani.
Hapana. Vyombo vya ulinzi vimetoka kwenye jamii yetu hii hii iliyojaa woga na ujinga. Kwahiyo hata huko kwenye majeshi Kuna uoga na ujinga mwingi sana.

Ccm itakuja kuondoka madarakani siku ambapo jamii itaamka toka usingizini tukachapana na kuuana.
 
Kama nilivyosema hakuna mtaji mzuri wa CCM kama umasikini na ujinga kwa Watanzania.

Ndio maana wanafanya kila hila ili umasikini uendelee.

Watanzania kila wakipambana hili wajikwamue na umasikini na wao wanajitahidi kuwa kwamisha

Watanzania wana bidii sana yakutafuta na serikali ina bidii sana yakuwa kwamisha.

Mfano kila Mtanzania anapo pangilia bajeti zake serikali inakuja kumuaribia wanafanya kila jambo kuhakikisha malengo ya mtu wa hali ya chini haya

Ndiyo maana kila kukicha wanamuongezea gharama raia mara tozo mara kodi ya majengo mara ongezeko la nauli na mengine mengi.

Yote haya yana haribu bajeti ya mlala hoi haya hayafanyiki kwa bahati mbaya wanafanya makusudi hili kumrudisha nyuma Ntanzania.

Kwenye ujinga wanajenga shule nyingi lakini hazina walimu hazina madawati na ndio maana shule wana zi simamia wao lakini hawapeleki watoto zao kwenye shule hizo wao wanapeleka watoto zao shule ambazo mwaka tu mtoto wake anaongea kimombo.

Lakini shule wanazo zi simamia wao miaka kumi mtu hawezi kuongea kimombo na hili ujue ujinga unafaida kwenye chama chao ngoja huone wanapo itisha mikutano yao wengi wanaojaa ni watu wa hali ya chini mtu ambaye hata kula yake haujui utakuta mtu anasombwa na gari kwenda kwenye mkutano.

unapokwisha mkutano ana baki kushangaa gari hiliomleta haioni inabidi harudi na mguu alikotoka wengi wanao hudhuria mikutano yao wengi ni wajinga na masikini utakuta mtu hata maana ya hoe hajui akiambiwa CCM hoyee yeye anajibu hoyeee.

Halafu akitoka hapo anaomba mia ya kahawa ujinga na umasikini ni mtaji mzuri kwa chama cha mapinduzi kuna baadhi ya watu wanadanganyawa na viongozi.

Kwa kuwa ambia Tanzania ina ma adui wa tatu ujinga umasikini na maradhi ni kweli ni ma adui watanzania lakini ni marafiki wa ccm hayo mambo yote matatu ni rafiki mzuri wa ccm na ndio maana kila siku wanamwagilia mbolea kwenye mambo hayo hili yazidi kuwepo kwenye umasikini kila mara wanapandisha gharama za maisha kwenye uhusiano
ujinga kila siku wanajenga shule nyingi ambazo hazina walimu kwenye maradhi wameunda tume nyingi na hizo tume zina wenyeviti utasikia mwenye kiti wa tume ya kudhibiti maralia huyo mwenyekiti anae ambiwa wakudhibiti maralia.

Anatembelea v8 ana mshahara na marupurupu kibao hivyo vyote ana vipata kwa ajili maralia kuwepo niambie wewe huyu mwenyekiti atadhibiti maralia hili kibarua chake ki ishe au ataboresha maralia hili.

Kibarua chake kiendelee kuwepo jibu unalo wewe ujinga umasikini ni tunu ya chama cha mapinduzi vitalindwa kwa gharama yoyote maana yakuandika maneno haya kamwe tusitarajie wala kuwaza wala kufikiri eti CCM inania ya ya dhati yakuwaondolea wananchi umasikini na ujinga.

Kamwe haito fanya hivyo na wala haito thubutu kufanya hivyo njia pekee ya kuepukana na haya ni kuikataa ccm kwa hali na mali
Taka zilizo mbele ya nyumba yako unasubiri ccm wakuondolee!
 
Nashukuru umejitokeza miongoni mwa hao nilio wataja kwani taka ndio zina sababisha kuwa masikini na wajinga au ufisadi wa viongozi wa ccm nakujenga shule nyingi ambazo hazina walimu nilijua lazima kuna wajinga watajitokeza sio kosa lako ni ujinga ulio pandikizwa na watawala ndio umekufanya utoe mfano usio husiana na mada halafu sio ww mpo wengi wenye akili za kushikiwa
 
Kwanza ni mwingi wa hasira relax kunywa maji!
 
Kama nilivyosema hakuna mtaji mzuri wa CCM kama umasikini na ujinga kwa Watanzania.

Ndio maana wanafanya kila hila ili umasikini uendelee.

Watanzania kila wakipambana hili wajikwamue na umasikini na wao wanajitahidi kuwa kwamisha

Watanzania wana bidii sana yakutafuta na serikali ina bidii sana yakuwa kwamisha.

Mfano kila Mtanzania anapo pangilia bajeti zake serikali inakuja kumuaribia wanafanya kila jambo kuhakikisha malengo ya mtu wa hali ya chini haya

Ndiyo maana kila kukicha wanamuongezea gharama raia mara tozo mara kodi ya majengo mara ongezeko la nauli na mengine mengi.

Yote haya yana haribu bajeti ya mlala hoi haya hayafanyiki kwa bahati mbaya wanafanya makusudi hili kumrudisha nyuma Ntanzania.

Kwenye ujinga wanajenga shule nyingi lakini hazina walimu hazina madawati na ndio maana shule wana zi simamia wao lakini hawapeleki watoto zao kwenye shule hizo wao wanapeleka watoto zao shule ambazo mwaka tu mtoto wake anaongea kimombo.

Lakini shule wanazo zi simamia wao miaka kumi mtu hawezi kuongea kimombo na hili ujue ujinga unafaida kwenye chama chao ngoja huone wanapo itisha mikutano yao wengi wanaojaa ni watu wa hali ya chini mtu ambaye hata kula yake haujui utakuta mtu anasombwa na gari kwenda kwenye mkutano.

unapokwisha mkutano ana baki kushangaa gari hiliomleta haioni inabidi harudi na mguu alikotoka wengi wanao hudhuria mikutano yao wengi ni wajinga na masikini utakuta mtu hata maana ya hoe hajui akiambiwa CCM hoyee yeye anajibu hoyeee.

Halafu akitoka hapo anaomba mia ya kahawa ujinga na umasikini ni mtaji mzuri kwa chama cha mapinduzi kuna baadhi ya watu wanadanganyawa na viongozi.

Kwa kuwa ambia Tanzania ina ma adui wa tatu ujinga umasikini na maradhi ni kweli ni ma adui watanzania lakini ni marafiki wa ccm hayo mambo yote matatu ni rafiki mzuri wa ccm na ndio maana kila siku wanamwagilia mbolea kwenye mambo hayo hili yazidi kuwepo kwenye umasikini kila mara wanapandisha gharama za maisha kwenye uhusiano
ujinga kila siku wanajenga shule nyingi ambazo hazina walimu kwenye maradhi wameunda tume nyingi na hizo tume zina wenyeviti utasikia mwenye kiti wa tume ya kudhibiti maralia huyo mwenyekiti anae ambiwa wakudhibiti maralia.

Anatembelea v8 ana mshahara na marupurupu kibao hivyo vyote ana vipata kwa ajili maralia kuwepo niambie wewe huyu mwenyekiti atadhibiti maralia hili kibarua chake ki ishe au ataboresha maralia hili.

Kibarua chake kiendelee kuwepo jibu unalo wewe ujinga umasikini ni tunu ya chama cha mapinduzi vitalindwa kwa gharama yoyote maana yakuandika maneno haya kamwe tusitarajie wala kuwaza wala kufikiri eti CCM inania ya ya dhati yakuwaondolea wananchi umasikini na ujinga.

Kamwe haito fanya hivyo na wala haito thubutu kufanya hivyo njia pekee ya kuepukana na haya ni kuikataa ccm kwa hali na mali
Mkuu,
Hii falsafa haija kuingia...

"Mama ana upiga mwingi"
 
FB_IMG_1575390792397.jpg
 
NAIPONGEZA CCM KWA KUENDELEA KUHAKIKISHA WANANCHI WANAZIDI KUWA MASIKINI NA PIA WAJINGA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom