Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki Prof Kabudi amesema Tanzania ndio mratibu wa mipango ya kudhibiti Corona kwa nchi za SADC. Prof...
6 Reactions
73 Replies
8K Views
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa. Akitembelea miradi mbalimbali DC Victoria amesema kuwa Lengo la ziara...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Tumuombe sana Mungu wa Mbinguni atuepushie Hili jinamizi la Ndoa za Jinsia moja Wakati mzee Hamad Rashid akiwa bungeni aliwahi kusema bungeni wapo walioowana wa Jinsia moja Watu wakampuuza KKKT...
17 Reactions
141 Replies
10K Views
Wanabodi, Ile siku Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhre. Stephen Masele, alipomtuhumu Balozi wa Uingereza nchini kwa tuhuma nzito za ujasusi!, nilipandisha uzi huu, Ujasusi wa Balozi wa...
25 Reactions
194 Replies
32K Views
Naomba niseme tu, Mh.Mnyika, ni mbunge bora katika utungaji wa sheria katika bunge letu. Tuna mawaziri na wabunge wasomi lakini Mnyika japo hana elimu kama wao, ame-prove to be the best lawmaker...
36 Reactions
144 Replies
14K Views
Ni lazima tuseme, Mkuu wa Mkoa wa DAR ndugu Albert Chalamila amefikia mwisho wake wa kufikiri. Kauli yake ya jana, ati watanzania waoona Dar, jiji la changamoto nyingi, wahame Jiji kama...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Salaam, Shalom!! Naomba tu kujua, Shujaa wetu, mchapakazi, mpenda watu, mthubutu, mzalendo Magufuli aliwakosea nini? Kutumia vizuri Kodi zetu kufanya makubwa kwa muda mfupi ni kosa? Kwanini...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”
11 Reactions
146 Replies
8K Views
Nimechukua muda wa kutosha kuisoma Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Sura Na. 16 iyofanyiwa mapitio mwaka 2019) na kujiridhisha pasi na shaka kuwa, kama nchi-Tanzania, ushoga umekatazwa na kuadhibiwa...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa. Haiwezekani kuacha...
39 Reactions
224 Replies
16K Views
Nimeangalia live ya Kipindi cha Mchakato Majimboni kinarushwa live na TBC-1 na mpaka sasa kinaendelea, nimewasikiliza wagombea wote, kwa maoni yangu, ubunge wa Ubungo, njia ni safi na nyeupe kwa...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Taarifa yake hii hapa . Ikumbukwe kwamba Clouds media ndio kile chombo cha habari kilichovamiwa kwa silaha za kivita na yule jamaa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM , jina lake limenitoka kidogo ...
2 Reactions
13 Replies
956 Views
Tatizo kubwa la umeme Tanzania linaanza na msimamo wa wanasiasa. Magufuli alisema hakuna kukatika kwa umeme na akaweza kwa sababu aliweka nadhiri yakutokula matapishi yake. Akakata mirija yote ya...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimeona wanasiasa wakishindana kuingiza watoto wao ktk siasa kana kwamba ni sehemu nzuri ya makuzi yao. Naona Mwigulu, Slaa, nk. wote wanatangaza vitoto vyao ktk siasa na huenda rushwa inatembea...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Nakumbuka Kwenye mkutano wa ACT Wazalendo pale Zanzibar walipokuwa wanazungumzia Uwekezaji wa DP World Kiongozi mh Jussa alisema tatizo Kubwa la Watanganyika ni Uvivu wa Kusoma historia Jussa...
4 Reactions
14 Replies
941 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Katika kutekeleza kazi ya mbunge ya kuisimamia Serikali itakumbukwa kwamba tarehe 12 Mei 2014 nilichukua hatua bungeni ya kutaka Serikali kutatua kwa dharura matatizo...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
MBUNGE wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangala ametaka viongozi wa Chadema waliotoa kauli kuwa wataingilia mchakato wa Katiba wachukuliwe hatua za kisheria na kutishia kuwashughulikia iwapo watakwenda...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Nimewahi kukaa na Mzee mmoja mstaafu, akanipa kaukweli fulani kuhusu aina ya viongozi tulionao. Kuwa , 1. Hawashauriki kwa mambo yaliyo wazi. 2. Hawako makini kwenye maamuzi. 3. Hawana upeo...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom