Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Dawati la Uchunguzi (Investigative Desk) la JamiiForums, Mwandishi Mwandamizi, Simon Mkina amechaguliwa kushiriki mafunzo maalum ya mwaka mmoja ya kung'amua na kuzuia Utakatishaji Fedha...
13 Reactions
27 Replies
3K Views
Pope Francis has allowed priests to bless same-sex couples, a significant advance for LGBT people in the Roman Catholic Church. The leader of the Roman Catholic Church said priests should be...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Ameandika Shehe Ponda katika ukurasa wake wa Mtandao wa X Ila mimi sikumbuki Mashehe kukamatwa awamu ya 5 maana Magufuli alikuwa Rafiki wa Waislam Mlale Unono 😀
20 Reactions
97 Replies
8K Views
Hivi CCM haina watu wengine? Kwanini inang'ang'ania watoto wa viongozi ambao hawana uwezo? Huyu Zahara Michuzi amehamishiwa ifakara badala ya kufurumushwa kutokana na tuhuma lukuki zilizomkabili...
11 Reactions
58 Replies
5K Views
Bwana huyo ametumbuliwa hadharani Kwa kile kilichoelezwa kwamba ni Watumishi kwenye mojawapo ya hospital Mkoani Kagera kushikilia maiti ya Mtoto mdogo chini ya miaka 5 wakitaka malipo wakati...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Kamati za Kudumu za Bunge zimeitisha maoni ya wadau kuhusu miswada mitano iliyosomwa kwa mara katika mkutano wa 13 ukiwemo Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nawakumbusha tuu kwamba maeneo ya vita sio salama Kwa kazi,waliokimbia sio wapumbavu Hadi Baadhi ya Vijana kujitoa ufahamu na kutaka kwenda huko maana mkitekwa kifuatacho ni kifo Cha kikatili...
3 Reactions
67 Replies
4K Views
13 December 2023 Dar es Salaam, Tanzania SERIKALI YAKABIDHI ENEO LA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM KWA BANDARI YA DAR ES SALAAM BAADA YA MRADI WA EPZA KUFELI Eneo lililokuwa maalum kwa uwekezaji...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa tumeona namna chama cha Mapinduzi kilivyofanya kazi kubwa ya uokozi na misaada kwa wananchi wa hanang. tumeona CCM ikitoa faraja kwa kushirikiana kwa ukaribu na...
8 Reactions
317 Replies
16K Views
Tido mzee wa watu katika utumishi wake alijenga CV nzuri ndani na kimataifa. Walipoona anafanikiwa na anazidi kupata jina Duniani wakamwita na kumkabidhi TBC. Akaweka mikakati kiwe chombo cha umma...
15 Reactions
15 Replies
2K Views
Naandika moyo wangu ukiwa unavuja damu juu ya vifo vya kikatili vilivyowatokea watanzania Clemence na Joshua. Namuomba Mungu aendelee kuzikumbatia familia zao na kuwapa faraja kuu. Nimemsikiliza...
2 Reactions
11 Replies
946 Views
https://m.youtube.com/watch?v=RWtUo0DVXD0 Sunday, December 17, 2023 WAZIRI MAKAMBA ABAINISHA MAFANIKIO YA SERIKALI KWA MWAKA 2023 KUPITIA UTEKELEZAJI WA SERA YA MAMBO YA NJE Waziri wa Mambo ya...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Watawala wa Afrika wanaamini kuwa mtu kutokuwa na kazi au kuishi kwenye mazingira ya kusoma kunakuondolea ushawishi kwenye jamii. Aliyekuwa raisi wa Sudan mfalme Albashiri hakuwa na ndoto kuwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Taarifa ya Ummy Taarifa ya Mkurugenzi wa Ilemela kuhusu Kituo cha Afya Buzuruga.[emoji116] Tunaendelea kuboresha huduma za Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto. Na namba Zinatubeba[emoji123] --- Ukweli...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ikumbukwe Kuwa Shujaa Magufuli alipoingia madarakani na kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM alijitahidi kuleta Maendeleo Makubwa Nje ya mfumo rasmi wa CCM Ndio sababu iliitwa CCM ya Magufuli...
5 Reactions
87 Replies
3K Views
Tunapotafakari mwaka 2023 yatubidu kumshukuru Mungu kwamba tuliishi kama binadamu. Kuna kipindi hapo miaka ya nyuma tulikatazwa kuwazika wapendwa wetu, kuwahudumia na hata kuongea nao...
0 Reactions
5 Replies
677 Views
Kama walivyoahidi jana kwenye Mkutano wao na Waandishi wa habari , leo wamekamilisha . --- Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewasilisha barua Ofisi ya Bunge la Tanzania...
11 Reactions
59 Replies
6K Views
Vifo vya Watanzania wenzetu Joshua na Clemence vya acha maswali mengi yenye kuhitaji ufafanuzi toka pande zote nne:- 1. Serikali ya Tanzania 2. Serikali ya Israel 3. Serikali ya Palestine 4. Chama...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
CHADEMA kama mnalenga kushika madaraka kwa kura kuna mambo viongozi wenu hawapaswi kuyaongelea kabisa katika umma kwa sababu yanawagawa raia. Suala kama vita vya Ukraine na Urusi viongozi wa...
12 Reactions
82 Replies
3K Views
Back
Top Bottom