Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inawezekana yasemwayo ni ya ukweli kuwa Maharage aliondolewa Tanesco na Siasa za wafanyakazi wa ndani, ambapo mifumo ya Maharage ilirahisisha kupata huduma na kupunguza bureaucracy hivyo kufanya...
0 Reactions
1 Replies
762 Views
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kuwa, mradi wa maporomoko ya umeme wa Rusumo wa megawati 80 unaotekelezwa kwa pamoja na nchi za Tanzania, Rwanda na Burundi umefikia...
2 Reactions
4 Replies
947 Views
Watanzania wameombwa kupaza sauti zao kulaani mashambulizi yanayofanywa na Taifa la Israel kwenye Ukanda wa Gaza eneo la Palestina. Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Balozi wa Palestina...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Ingekua ni zile nchi za ustaarab basi Nape, Makamba na Maharage sahivi wangekua jela au kunyongwa kabisa Hatuwezi kuishi na wasaliti nchini hata kidogo Kitendo cha kufungulia bwawa la Mtera maji...
23 Reactions
54 Replies
3K Views
Japo niliaga wiki kadhaa na hiyo bado ni nia yangu hila dunia imesogea sana. Binafsi sina shida ya kukosolewa, but also nimechoka kusoma ujinga. Asilimia kubwa ya watu awawezi kuandika hoja; it...
2 Reactions
45 Replies
2K Views
ZIARA ITAGUSA MIRADI IFUATAYO KATA YA MAVANGA: MRADI WA MAJI KIJIJI CHA MAVANGA • Gharama za mkataba (Mkandarasi): Tsh. 1,340,809,578. • Mradi utahudumia wakazi: 5,249 • Mradi umetekelezwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
447 Views
Hivi ule Uzi wangu GENTAMYCINE niliouandika hapa JamiiForums mapema mwaka huu hamkuuelewa au ni Jeuri na Dharau zenu tu? Nilisema kuwa CHADEMA na Watu wengine acheni Kuhangaika na hii Kesi ya...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Waziri mwenye dhamana Nape Nauye hili jukumu lipo mikononi mwako kama unaweza kuwakamata watu waliozusha/kurusha maudhui ya uongo kwa kusema kuwa Makamo wa Rais Dr. Philip Mpango kuwa ametangulia...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
TISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili...
18 Reactions
57 Replies
4K Views
Waziri Mchengerwa na Ummy Mwalimu wamekuwa hodari wa kusimamisha na kufukuza kazi watumishi wadogo hata Kwa makosa ambayo ni dhahiri yamesababishwa na Sera au maagizo ngazi ya wizara. Lakini wao...
1 Reactions
1 Replies
366 Views
Serikali ya awamu ya Sita hivi karibuni ilijitutumua kuwa inao uwezo wa kulipia wanafunzi wote wanaoqualify kupata mikopo elimu ya juu ,ila pia ikaenda mbali na kupiga siasa kuwa itawakopesha...
0 Reactions
14 Replies
831 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba (Mb.) ameainisha mafanikio yaliyopatikana kwa Taifa kutokana na utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje yenye msisitizo...
1 Reactions
2 Replies
542 Views
Wakuu, Damu ya Mtanzania mwenzetu haiwezi kumwagwa kikatili na kihuni namna ile tukae kimya. Hawa tumelia nao kwenye magumu mengi waliyopitia alafu wanaua mwenzetu kama kuku? Tunaomba ubalozi wa...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
NHC wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha. Nssf wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha. Watumishi housing wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha. TBA nao wanajenga nyumba. Hizi Taasisi...
30 Reactions
59 Replies
4K Views
Nimesoma Daily News kuwa Rais Samia amesikitishwa na kifo cha Emir wa Kuwait ambaye amekufa akiwa na umri wa miaka 86 lakini hajasikitishwa na watoto wa kitanzania waliouawa na HAMAS huko Gaza na...
14 Reactions
11 Replies
1K Views
Bunge lihoji serikali kuhusu Joshua Mollel na Clement Mtenga waliotekwa na Hamas serikali inafanya juhudi gani waachiliwe
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimekuwa nafuatilia Suala zima la Ubunge wa Viti Maalum namna Mchakato wake unavyopaswa kuwa Kisheria na namna Mbunge anavyoweza kupoteza Ubunge wake kwa Mujibu wa KATIBA ya NCHI. Kwa Mujibu wa...
1 Reactions
7 Replies
983 Views
Wakili msomi Peter Madeleka ameandika Kwenye ukurasa wake wa X kwamba Chato ndio Wilaya pekee nchini Tanzania ambayo ina Taa za Kuongoza Magari barabarani Je, ni kweli hakuna Wilaya nyingine...
10 Reactions
72 Replies
6K Views
Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo. Mpaka leo watanzania Wana shida...
14 Reactions
202 Replies
8K Views
Back
Top Bottom