Kuna watu wamezaliwa na roho mbaya, wana roho na wataendelea na roho mbaya. Kuna watu niwakatili na wataendelea kuwa wakatili.
Ukiona kiongozi anasimama adharani analalamika chama cha siasa...
Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier siku ya Jumatano ameomba radhi na kueleza...
Watanzania sio watu wa kuwatetea na itachukua muda sana watu kama Mbowe kuja kugundua hili. Ni mara 100 kuwatetea wanyama, au hata Mbwa ila sio Watanzania, ni vigumu sana kutetea mtu asie jitetea...
Kwa habari za kuaminika zinasema kwamba CCM imejipanga kufanya maandamano makubwa sana jijini Dar Es Salaam ili kuwafunika chadema.
Kiongozi mmoja wa chama hicho amesena kwamba wamejipanga...
Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema
1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na...
Nimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu
Benki ya DCB iliingia soko la hisa la Dar es salam na share zake zilianza kupanda lakini kwa Tangazo hili la Benki ni ukweli ulio wazi kutakuwa na mabadiliko makubwa sana kwenye hisa zake...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe wakati akiwasilisha ujumbe wa maandamano ameonya kuwa serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia imekuwa ya anasa kupitiliza kwa maafisa wake kulipana...
Kumekuwa na upotoshwaji mkubwa kutoka kwa wale wanazoziendesha nchi zao kiimla na kujitetea kuwa demokrasia siyo sawa sawa na kinywaji cha coca-cola ambapo radha yake itakuwa moja Dunia nzima...
Habari za Leo wanajami forum wezangu. Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea na mapambano yakujitafutia ugali wa kila siku
Kwenye nchi iliyo fanywa kuwa kisiwa cha wavumilivu. Leo...
WAKATI niliposikia tangazo la maandamano lililotolewa na uongozi wa CHADEMA,Binafsi nilipata tumaini kuwa sasa ni ule muda uliosubiriwa na Watanzania kwa ajili ya kusimama,kupigana na kutetea...
Serikali hii ya CCM ina mambo ya ajabu sana. Ni aibu kwa serikali inayojinasibu kuzingatia usawa kufanya uhuni wa kiwango hiki. Sijawahi kuona serikali yenye ubaguzi mkubwa kwa wananchi wake hapa...
Madai yao yanatekelezeka?
Yatatekelezwa na nani?
Yatatekelezwa lini?
Yatatekelezwa wapi? Tz hii?
Yasipotekelezwa what is the next course of action?
Maandamano yalipeleka ujumbe kwa mhimili...
Ndugu zangu Watanzania,
Jumamosi ya wiki hii ya Tarehe 27 januari 2024 Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan, mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri...
https://www.youtube.com/watch?v=BTFeRepAxVg
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili katika Viwanja vya Makazi ya Rais (Bogor Presidential Palace) Jijini Jakarta, Indonesia na kupokelewa na mwenyeji...
Ndugu zangu,
Hali ya vituo vingi vya daladala nchini hasa wakati wa mvua bado ni mbaya sana. Lakini kama mjuavyo Mwamba ngoma huvutia kwake wacha leo niwaoneshe hali ya kituo cha mtaa wetu hapa...
Kuwa na mvuto wa watu, hahitaji kuwa na madigere na au PhD ili ukubalike na watu
Ukiniuliza mimi, kwa yale tuliyoyasikia miaka hiyo ya utawala ya JPM hasa kumhusu Makonda, namna vyomba vya habari...
Kila mmoja wetu ana sababu zake za kuchagua na kupenda chama cha siasa anachoona kuwa kinamwakilisha vyema. Huku kila mmoja akiwa na sababu tofauti, ni muhimu kujiuliza: Je, ni sababu zipi...
Wanabodi
Kuna huu msemo kuona ni kuamini na ni kujifunza!. Je, Tanzania sasa tuanze kuwa tunajifunza mambo mazuri ya wenzetu tunayoyaona kupitia exposure mbalimbali kwenye ziara za Mhe Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.